mahari anatoa mwanaume,kwenye kugawana utaamiwa haki sawa
2026-09-12 12:56:05
1
BABA RAHMA :
Mim ni tim dog namkubar saana mawe yake
2026-09-12 10:17:49
1
Tonny Mluwi :
me nipo team Dogi
2026-09-12 13:08:37
0
THABIT KASSANGA :
Mr dog unajuwa kutazama mbali
2026-09-12 14:03:01
0
Silvester Dickson :
Watufudenge ijayo mnitag na mimi 🥰🥰
2026-09-12 12:28:08
0
franckhasnate2 :
do!! ms dog yuko saii sana
2026-09-12 12:42:15
0
Adamu_Sombi :
oya mr dog noma sana
2026-09-12 12:36:41
0
amamiya brothers :
50/50
2026-09-12 12:39:13
0
user4584873229261 :
nimimi mussa mwandambo.wazo ni kumuheshimisha mwanamke
2026-09-12 12:39:39
0
bin seif :
mahari ni zawadi Kwa muolewah......
2026-09-12 12:35:16
0
bafana wa mahembe :
mahar ni makubaliano ya watu wawil na mahar ni sadaka kwa bint sio ya wazaz kwa muujib wa quruan
2026-09-12 12:53:50
0
Rama 05 :
mahali ni zawadi kwa mwenye pahali na anpanga yy mwenyew nn anahitaj, wazaz au walez hawahuski kwenye kupanga wala kupokea mahali si halali kwao adi wapewe na bint yao mwenyew
2026-09-12 12:41:02
0
Saidi Shembeu :
nakubal san mr dog swal tamu san ilo
2026-09-12 12:46:11
0
Tonny Mluwi :
Team Dog 🐕🐕 mikono juu
2026-09-12 13:08:58
0
makame73 :
Nip n mkurugenzi mkuu mr D
2026-09-12 12:05:01
0
Imani Kashililika :
bunge ni lamoto sana
2026-09-12 11:17:18
0
Ahmad ali :
nakwanz leo mr dog aonge la maana
2026-09-12 14:13:49
0
swetbet :
nikununua
2026-09-12 12:05:19
0
Riziki mafungu saba :
ni vyema kushirikiana kifupi tu☺️
2026-09-12 11:54:08
0
hsn m :
tim dog uwiii
2026-09-12 11:53:24
0
LEONARD Tz official 💎💎 :
wakwanza leo
2026-09-12 10:04:17
0
To see more videos from user @king_ai_memes, please go to the Tikwm
homepage.