@pascal_mushi12: Marinade rahisi: 🧅 Kitunguu 🧄 Kitunguu saumu 🌶️ Pilipili Manga 🧂 Chumvi 🫑 Paprika 🍋 Limau 🛢️ Mafuta kidogo Changanya vizuri na nyama, acha imarinate kwa angalau saa 2—ukiacha usiku kucha, ladha inaingia zaidi. 😋🔥 Choma kwa moto wa wastani, geuza mara kwa mara, kisha enjoy mishikaki yako! 🍢🔥 #Mishikaki #ChefPascal #CookingTips #TanzaniaFood #FoodContent

Pascal's Kitchen
Pascal's Kitchen
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 10:03:38 GMT
51261
2197
38
160

Music

Download

Comments

pascal_mushi12
Pascal's Kitchen :
🔥 MISHIKAKI TAMU HUANZIA KWENYE MARINADE! 🥩🍢 Marinade rahisi: 🧅 Kitunguu 🧄 Kitunguu saumu 🌶️Pilipili 🧂 Chumvi 🫑 Paprika 🍋 Limau 🛢️Mafuta kidogo Changanya vizuri na nyama, acha imarine kwa angalau saa 2—ukiacha usiku kucha, ladha inaingia zaidi. 😋🔥
2026-09-12 10:04:49
29
fell7619
FELLY@7619 ❤🙏 :
Asnt Sna...
2026-09-12 10:26:33
0
dallys1606
DALLY'S :
sem chef unanjoosha mbyaaaa....karbu shamba restaurant njiro
2026-09-12 13:12:04
5
nanettehandmadetz
nanettehandmadetz :
Naomba unifundishe kuhusu nyama, ipi ni nzuri kwa kuchoma, ipi nzuri kwa roast, ipi nzuri kwa matumizi ya kawaida.
2026-09-13 09:33:50
0
dripnsoles3
CATHERINE PETER :
following from Kenya
2026-09-13 17:21:34
0
monicajuma988
Monica Juma :
Ahsanteee uko wap
2026-09-12 11:09:59
0
charles_123448
Charles :
Sasa Paschal ndo useme Kiruuuu😂😂😂😂😂😂
2026-09-14 16:49:29
0
faay911
Baby fay🥰 :
Huu mwaka lazima nijue kupika 😂
2026-09-15 05:45:33
0
03zayn3
Zaynab :
naomba ya pilau ratio kila kitu jamani
2026-09-14 11:36:40
0
anthonybusanya
AnthonyBM :
wewe jamaa nilikuwa siamini kabisa kupika nyama bila kuweka maji lki clip yako imenifanya nimepokea japo sikuwa na vitu vingi lakini nimetumia tuu kuzichemsha bila maji yaani imejipika yenyewe, kitunguu saumu, tangawizi, kitunguu maji na nyanya wala sikuvikaaanga na nikasema mafuta kidogo na chumvi aiseee nimeshangaa nyama tamuuu anasa na imeiva
2026-09-13 19:29:52
1
user67442734063012
proud momma :
kama ntakosà paprika ntumie nn
2026-09-14 09:42:38
0
nelsonkimaro57
Star :
basi uku kwetu tunakula nyama zimerembwa 😁😁😁
2026-09-14 08:06:27
0
raimumrina
mrinaJr/😷 :
umendaa vyema kabisaaa
2026-09-12 16:17:42
0
bobstarlaban3
CHEF DE LABAN :
nifanyia vidio ya White meat na red meat marination niko na shida bado kidogo vinachangaya
2026-09-13 20:38:34
0
3333dp.m
333333 :
nimejifunza!!
2026-09-12 14:59:43
0
twiga272
Twiga🦒 :
Viungo vyote alivyotaja chief ninavyo karibuni sana
2026-09-13 08:09:23
0
lifewithevanah
lifewithevanah🌸 :
bora maanake watu wa DAR wamezid kupaka marangi yani siwezi kabisa bora niende @jejezfood
2026-09-12 12:51:18
1
user3983018616151
baby girl :
🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-12 10:27:19
0
bint.haidary
🦋🌹 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-12 10:43:18
0
nipah569
Nipah :
🥰🥰🥰
2026-09-13 05:34:22
0
mariamissa6107
Mariam Issa :
🥰🥰
2026-09-13 05:16:12
0
rickyge03
rickyge03 :
🔥🔥🔥
2026-09-13 07:17:30
0
shef.kelvin
Shef kelvin :
🥰🥰🥰
2026-09-13 17:10:20
0
To see more videos from user @pascal_mushi12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About