sema had watu wa azam tufike huku tutakua tumelia na mengi😅
2026-09-12 10:43:35
78
miss smile😊 :
unatumqlizia ladha ya movie bana
2026-09-15 07:02:06
4
sunshine 🌞 :
me mume wangu hafatiliagi tamthilia ila hii ad akisafr ananipigia nimuadiise ilivokua😁😁
2026-10-15 11:29:46
0
Mrs♥️kisukar😋 :
daaah kiukwel hii mv naachag adi kupika kwakweli Yan mda mwngine naongeag pekeangu kumuelekez nesrihan
2026-09-23 09:12:46
9
Hafsah❤ :
hivi huyu shemej mpya sio yule afande??
2026-10-08 20:22:33
5
Nanah🌺🦋 :
Hii ndio ending au
2026-09-21 19:12:03
4
madamJ :
nishushe pumzi sasa team neslihan
2026-09-12 15:38:38
11
bintbakary@ :
damla kafanyaje?
2026-09-12 11:52:21
4
Informer tz :
hii n baada ya neslihan kutoka jela na damla nae ndo akafungwa au?
2026-09-16 06:10:33
3
toto tima :
angalau sas nitaangalia mmmmm
2026-09-12 11:06:48
5
piana🥰 :
murat silipendi mimi
2026-09-16 04:42:34
2
ozge :
mtuambie huku tunafika lini ndio tuanze kuangalia
2026-09-12 13:12:26
5
lusda james :
hakuna Movie naangalia kwa machozi mwanzo mwisho kama hii, aah huu mchepuko una nguvu kuliko mke bas nakuwa na pressure tu, Neslihan nae jaman hata kupiga tu anajikuta Malaika aaah naumia dah
2026-09-15 10:36:13
4
Chely☘️❤️ :
Huku ndo nitaona huko kwingineko hapana😅😂
2026-09-12 10:21:41
3
ruurama :
mie roho yangu aichukui kabisa naona Bora nitulie tu
2026-09-14 20:33:08
1
sheyy🌸🥰❤️ :
Ana stahili hilo
2026-09-12 10:46:23
2
ME❤ :
kakome
2026-09-12 11:20:01
0
princess hairath :
mnanipa Raha jamani
2026-09-12 11:33:23
1
-Dynie🏵️🌹 :
acha akomee😂
2026-09-12 10:23:19
0
Given✨💞 :
bora hat nimeon mwish utakuaj at least napat nguv ya kuangalia hii movie😂😂
2026-10-04 08:07:33
0
Win Urassa :
akapambane huko huko
2026-10-15 04:35:20
0
Mwana de Mammy :
kwamba hakufa Ile siku ya ndoa
2026-09-25 06:29:39
0
Muznedreamshade :
Nataka kusema kwann neslihan hajawa na koray kumbe hapa koray kafariki[Tears of joy]
2026-09-25 19:02:45
0
ummuh sakinaah🥰🥰 :
yamotoo
2026-09-23 14:36:42
0
To see more videos from user @siunaona54, please go to the Tikwm
homepage.