@mshaitinatz: Replying to @Dianta Vibe 🔥 BOSS YA MBOKA AMEKASIRIKA! CHUKUA MAELEKEZO… 😤🔥 Boss ya mboka TAITA!!! anaweka wazi kwanini ameendelea kuwekeza BIG TIME ndani ya Bukoba, ikiwemo kuwaleta wasanii wakubwa na kuendelea kuiweka Bukoba kwenye ramani ya burudani. 🎶🔥 Pia ametoa shukrani na pongezi za kipekee kwa Mhe. Innocent Bashungwa kwa mchango wake katika kufanikisha ujio wa Harmonize mjini Bukoba. 🙌🏾🔥 Na sasa ni zamu ya THE NIGHT MAN! Harmonize 🔥🔥 📍 RIO DE JANEIRO BUKOBA 📅 LEO JUMAMOSI 🎟️ Kawaida: 30,000/= 👑 VIP: 50,000/= BUKOBA, CHUKUA MAELEKEZO… USIKOSE! 🔥🔥🔥 #bukoba #foryou #fyp #fypシ #viralvideo

Mshaitinatz
Mshaitinatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 10:15:39 GMT
26964
1451
75
55

Music

Download

Comments

fidea.yujini6
Fidea Yujini :
Uyo ndo mwenye Rio au de janail
2026-09-12 11:06:11
8
karungi.alinda
karungi Alinda :
Tupe namba ya boss tumuombe kazi 😂
2026-09-13 09:13:39
4
madamboss215
@Nifashe madam :
Huna baya bk inanoga sanaa
2026-09-12 17:51:39
7
sadothrugemarila
Sadoth Rugemarila Julius :
zachwaaaa
2026-09-12 10:37:39
5
adrianaeustace8
adriana eustace :
Zachwaa
2026-09-13 10:46:43
3
calebjorry
Calebjorry(KALE-TEC)😅 :
Ni unyamaa Sanaa🥰Bukoba Twaimuka 😂
2026-09-13 17:29:43
2
dukeyanga
007🤗 :
huyu ndo tajr nwenyew au[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-12 10:25:36
2
shakatz32
Shakatz :
BOSS YA MBOKA
2026-09-12 12:43:00
5
mlade27
Mlade 01 :
ila yaaani
2026-09-13 12:01:25
2
egbart04
egbart04 :
mimi issue sio helaa🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-12 19:08:31
3
nawadh123
sr n :
boss mbn km ameshachangamka😅
2026-09-12 19:39:09
2
thedoneking1
LAST BORN :
boss
2026-09-12 12:27:17
2
edvinaerasmusgmail.com2
vinha256 :
tiari kachangamka
2026-09-12 18:10:11
4
erasmus.bataza
Erasmus Bataza :
boss pambana
2026-09-12 13:27:50
2
revocatus873
revocatus :
nakubali sana
2026-09-12 20:00:01
2
0684033745t
Tumwesige joseph :
👏👏👏
2026-09-13 04:41:39
1
bonifacelarubare
Larubare family ❣️🔐 :
dah boss wangu Mimi
2026-09-12 12:20:24
2
slumber951
slumber tronics 95 :
Hela sio shida taita🔥🔥🫡
2026-09-13 04:55:03
2
user516330887930
heety Felix :
baba angu kpenz ishi maisha malefu 🥰🥰 i love you so much ❤️♥️💖 💗
2026-09-12 20:57:24
1
bonifacelarubare
Larubare family ❣️🔐 :
boss wangu wa bukoba one day nitakuja kukusalim
2026-09-12 12:20:45
1
geofreybalama
geofreybalama :
Bukoba kwa upande WA burudani IPO kwenye mikoani salama ya Boss ya mboka
2026-09-12 22:21:57
1
roobeni5
rubeni :
boss 💪💪
2026-09-14 18:39:11
2
alex.202032
Alex 2020 :
ndo uyo
2026-09-13 02:31:19
1
joanitamedard1
It's Mtanganyika :
tatizo ni kiswahili tu hela ipo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. vipi boss mbunge wa bukoba ni nani eti
2026-09-13 19:15:40
2
To see more videos from user @mshaitinatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About