@julys037: 💖 KARIBU SANA UBUNGO KIBO! 💖 Wateja wangu wapendwa, tunawakaribisha kwa moyo wote kwenye duka letu lililopo Ubungo Kibo 🛍️✨ 👗 Tunauza nguo mbalimbali nzuri za kike 🩷 Tunauza pajama nzuri na zenye mitindo ✨ Mavazi ya kisasa, yenye ubora na yanayokufanya upendeze zaidi. Usipite bila kututembelea! 😍 Njoo uchague vazi lako unalolipenda. Tunakusubiri kwa furaha ❤️ 📍 Duka lipo: Ubungo Kibo 📞 Wasiliana nasi: 0792 698 373 🌸 Karibu sana, mteja wetu ni muhimu kwetu! 🛍️❤️

kibomba jeshi lamtu mmoja🥰😎
kibomba jeshi lamtu mmoja🥰😎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 10:16:42 GMT
6961
256
8
4

Music

Download

Comments

side_chick45
laurah🫦 :
umeamua kutumia nyimbo ya shemeji😂❤️
2026-09-12 14:43:03
0
khadracilm
Khadra :
Nataka hiyo Nguo
2026-09-13 15:20:38
0
mszee71
mszee71 :
Sh ngap hilo gaun?
2026-09-12 14:51:25
0
mainapasito0
Mainapasito cosmetics :
😂😂😂Ila kibomba
2026-09-12 17:34:07
0
winicious09
#Winicious🧸💜🦋 :
❤️❤️❤️
2026-09-12 10:20:21
1
rumaysa255
Rumaysa fimbo ya michambo🦂 :
💃💃💃💃💃💃💃💃💃👌🥰
2026-09-12 15:07:29
0
To see more videos from user @julys037, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About