Nyimbo za zamani si nyimbo tu, ni historia yenye sauti. Kila ubeti una kumbukumbu, kila melody ina hisia, na kila neno lina maana. Hizi ni nyimbo zilizopita miaka lakini hazijapitwa na wakati. Zamani walikuwa wanaimba kwa moyo, ndiyo maana mpaka leo tunazisikiliza na bado zinatugusa.” ❤️🎶
2026-09-12 10:39:04
36
ELIM MITAANI.COM :
Tatizo ni moja tu hizi post mmeshindwa kuzijengea platform moja tu zikawa zinapatikana huko ndipo mlipofeli
2026-09-12 10:48:31
20
mis @$hy654🥰 :
Jina la nyimbo
2026-09-25 18:30:27
1
Dido d Asall :
hii umepiga congratulations 👏
2026-09-20 07:41:40
1
Rasam :
full ip tik tok
2026-09-13 17:34:34
4
Abdu Kassim :
ivo viatu hana vyengine au man naona hajawahi kubadilisha video zote