@chambani_yetu: #TikTokShortFilm😍🎬 #whattowatch #fypviralシ #fypviral #fypシ

𝙲𝙷𝙰𝙼𝙱𝙰𝙽𝙸 𝚈𝙴𝚃𝚄
𝙲𝙷𝙰𝙼𝙱𝙰𝙽𝙸 𝚈𝙴𝚃𝚄
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 10:41:55 GMT
6636
221
10
13

Music

Download

Comments

chesco.babloo4
Chesco Babloo :
HATA KAMA UTAULIZA SWALI HAWATOKOSA MAJIBU.
2026-09-12 14:21:03
1
user72394190605690
user72394190605690 :
Haja ya kupiga pesaa
2026-09-12 14:24:11
1
ahmadabdalla499
Ahmad Abdalla :
mh wazir kilichonishangaza ni kuwa baada yahizi kuna nyengine
2026-09-12 18:26:06
0
aitharkhamis
Aithar Khamis :
CCM WAKISHAKAA BARAZA LA WAWAKILISHI WANAJIAMULIA MAMBO TU NA KULA PESA NA KODI ZA WANANCHI
2026-09-12 16:24:08
0
zahormohammed181
Zahor Mohammed :
hivi wewe waziri huyo mzabuni ingekua umempa kazi ya kukujengea nyumba yako kisha akawa anachelewesha kazi namna hii ungetoa majibu mepesi kama hayo? punguzeni dharau kwenye mambo ya muhimu
2026-09-12 17:50:14
0
dullymcha
Abdul-Malik :
Haja ya nini mbona haujachambua haja gani au yakupiga pesa mnatukwaza nyny mkishakuwa huko mnatuona mnatumudu sana
2026-09-12 17:23:14
0
khatiburashid592
Khatibu Rashid :
wizi tu hamna lolote
2026-09-12 16:17:37
0
trusttourszanzibar
gyönyörű zanzibári túrák :
Usitusemee kua tulikua na uhitaji labda weye ndo ulikua na uhitaji wazir
2026-09-12 16:04:14
0
hafidh2834
Hafidh :
Kiukwel hatuko razi na hii zulma zenu
2026-09-12 18:18:37
0
To see more videos from user @chambani_yetu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About