@swahilitimes: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) watapewa mamlaka ya kukamata watu wanaotupa taka hovyo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha mkoa huo unakuwa safi. #tanzaniantiktok🇹🇿 #typppppppppppppppppppシ #TREND #tiktok #dar #fyp #wananchi #raissamia #bunge

Swahilitimes
Swahilitimes
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 11:00:19 GMT
3764
57
4
2

Music

Download

Comments

yanini990
r.chdy :
Kma tko shule vileeee mkuu wa nchi amefewa
2026-09-12 15:57:11
0
reaganmohamed610
Wachaka :
mshahara je tutapata
2026-09-12 12:36:06
0
msemaji_wa_madereva
Bakari Omary :
Usitumie jeshi kudili na raiya utaleta shida ao vijana wa JKT wapeni ajira iyo sio kazi
2026-09-12 18:10:45
0
msemaji_wa_madereva
Bakari Omary :
😂😂kaka utaleta shida watu watauwana kaka usiwape kazi iyo jkt ujiandae keweka makaburi
2026-09-12 18:09:09
0
To see more videos from user @swahilitimes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About