@sheikh_kosonso.official: 07 | OGOPA SANA DUA YA MWANAMKE ULIYETAFUTA NAE MALI | SHEIKH AMIR KASONSO #kasonso

Sheikh Amiri Kasonso
Sheikh Amiri Kasonso
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 03:55:00 GMT
44132
3548
85
429

Music

Download

Comments

sayuni.kiondo
Sayuni Kiondo :
inaumiza sana michepuko haijuagi maumivu ya mke
2026-09-14 04:48:49
28
user3517541710408
user3517541710408 :
Yaa Allah nilipie, nimedhulumiwa Duka langu na mume wangu, amenidhulumu pesa zangu, mbaya zaidi amenidhulumu kiwanja changu na kumjengea mke wake wa pili. YAAA ALLAH NILIPIE NAAMINI HAKUNA WA KUNILIPA ZAID YAKO ALLAH
2026-09-15 05:33:05
8
nimo49769
Eunice Wairimu 🇨🇦🇨🇦💕💕 :
kazi Canada 🇨🇦 zipo njooni 🥰🥰🥰
2026-09-14 15:27:56
1
catty.emilian
Catty Emilian :
awajui tu tunawaombeaga mazuri sabab ya watto bila wao sjui ibada zetu zingekueje
2026-09-22 15:43:28
0
iyya.sweets.and.be
Iyya Sweets and Bekary :
sitaki kukumbuka Alhamdullillah hasbillah waneemal wakil walah Allah atanilipia niko na mimba miezi 9 mwanaume anamuingiza mwanamke ndani ya nyumba yangu haitoshi nipo ndani ya 40 mtoto wa 4 ananiacha sijamaliza eda anamuowa huyo mwanamke alhamdullillah ananitosheleza Allah mwingi wa rehma 😢
2026-09-15 08:49:54
6
mamothman0
mamothman :
Allahu akbar wanawake tunapitia mengi kwny ndoa
2026-09-14 04:07:34
15
user9032330787478
juma issa :
na wanawake je waliowazurumu wanaume zao inakuaje shehe
2026-09-14 04:59:26
0
tajiri391
tajiri391 :
mungu atupe subrah
2026-09-14 03:57:41
9
umumuyeesir
ummu yeesir :
daah hii hali ni ngum mno nyumba yako unalipishwa kitu kikiharibika [Crying]
2026-09-14 04:33:11
1
unoor65
unoor :
kweli nimeyashuhudia haya
2026-09-14 18:06:33
1
ummufeisal2018
烏姆菲薩爾 :
nikikumbuka nilikuwa nikila mihogo asubuhi na tumbo la mimba naenda clinic kwa miguu nikishinda njaa na mimba yangu nikimuombea afanikiwe 🥺Alipofanikiwa tu aliniona Mimi ndio adui yke mkubwa mm ndio nuksi katika maisha yke sikuwai furahia ndoa tena kuanzia apate shillings 😭😭lkn yote kumi nimemsamehe fhi Dunia wal akhera
2026-09-15 13:34:22
0
sophdacute
sophy dacute🦁 :
simuombei wema yule kaka Kila balaa limfike nilikopa nikajenga Leo hii anataka kunizulumu na anaangaika kutaka kuniua Mungu nilinde kwaajili ya mwanangu
2026-09-15 06:49:23
3
biomythegirl
BI OMY :
🥰🥰🥰 alhamdhulillah narudi kwetu
2026-09-17 04:59:42
1
farijisanga605
msumi :
Mungu ndiye anayejua
2026-09-14 04:44:16
3
usersareally
user9715066164502 :
mungu alionilipia siku tatu allhamdullah [Pray][Pray]
2026-09-14 12:11:27
1
albinasappy
mumy naaa :
mungu amlaani huko aliko,ee mu gu nisaidie
2026-09-15 00:06:49
1
emanuelmbwambo53
Captain chumvi :
Ni Wachache ambao tunamuelewa haya Maneno✍️Unaweza Tafuta mchawi dunia nzima usimuone
2026-09-14 19:03:36
2
asya.kibe
asya kibe :
na kawaida huwa Allha hapigi kwa fimbo ya Hen zinari, hupiga kwa zake njia. allha tupe mwisho meme
2026-09-16 05:29:39
1
user1471029598248
mmmmh :
ninayapitia hayo nimemwachia Mungu aangalie yeye haki iko wapi
2026-09-14 05:56:31
2
rehemalaizer8
rehema laizer :
wallah wajirekebishe hao wanaofanya hivyo
2026-09-14 11:35:11
1
sayuni.kiondo
Sayuni Kiondo :
inaniumiza ndani ya moyo wangu
2026-09-14 04:49:41
1
zaffrania
Ummof3 :
Shekhe, Allah akupe umri mrefu na afya njema...Nakushkuru sana for lecture zako...
2026-09-14 07:13:44
1
www.tiktok.comrebecca25
Rebecca :
kusema ukwel haki maumivu machozi na dua vyote nilifanya kwa miezi 3 nikulia tuu ila saa nasubiri sina haraka
2026-09-14 06:32:32
1
king.winner58
king winner :
Shekh kuna wanaweke wengine wadhurumaji vip kuhusu kinyongo cha wanaume
2026-09-21 10:58:45
0
ummu.murshid
ummu murshid :
Mm nalia kila siku nishalia san na ashapoke dua zangu nashukuru Alhamdulillah
2026-09-14 05:22:13
0
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About