Jini mzuri kuliko mawifi zangu 😅😅😅msinichambe nina kisukari 😅
2026-09-12 13:10:25
37
JumaAbdul471 :
jini anafakuolewa
2026-09-14 17:20:50
7
D yuzzoh :
kapis kwel
2026-09-14 18:30:02
0
Mputa :
Assalamua laikum
2026-09-12 11:56:26
7
MARTHA TILYA :
Leo nimgundua kumbe hizi emojies zinakuanga Vowels
😂-a
😄-e
😁-i
😮-o
😯-u
Makofi kwangu 👏👏
2026-09-14 19:33:41
15
Abuado mziwanda :
subhanallah Jin ana sim na amefunguwa TikTok 🙊🙊🙊
2026-09-18 17:40:15
3
ramadhan athumani :
utaniuwa maimuna
2026-09-13 18:47:07
0
Rayyan Iyyan :
jini anashep kuliko mimi😂😂😂😂
2026-09-14 18:00:57
7
Mwajuma Rajab :
nakuomba unisaidie kwa uwezo wa allah nipone
2026-09-12 19:07:48
2
Somoe Amani :
Hakunanjini hap
2026-09-14 18:03:31
1
kime brand :
una mpenzi au tuaanze maisha
2026-09-14 17:03:24
6
Seif Abdallah :
asalamu aleykum
2026-09-12 12:09:05
1
💞_🦋Candy_🧸 :
Acha kututisha bc wengine tunalala wenyew
2026-09-16 14:59:36
0
wizzy best🧭🏟.... :
:Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-25 16:27:16
1
Miss Suzan 🤪😜 :
sikuizi hadi majini wanajiposti
2026-09-22 15:29:11
0
khamis juma.pr5✨ :
Imagen m/mungu nipatie kama huyu nitulie 😂😅
2026-09-22 15:35:31
0
bakari mizanza :
naomba kutiwa na jini maimuna
2026-09-18 19:40:11
0
To see more videos from user @jinimwenyeupendo, please go to the Tikwm
homepage.