@mrhjuma1: Huyu binti, Nayce Moshi kipindi Anaacha Kazi ya ukondakta kwenye kampuni ya Tilisho wengi walimkosoa sana huku wengi wakisema hakustahili kuacha, wengi walikuwa wana Jiuliza anataka kufanya nini? Wengi walianza kumsema kuwa ameacha kazi Ili awe huru na kudanga, inasikitisha sana. Leo kilicho fanya nije kumuandika hapa, ni kutokana na Jana ijumaa tume letewa chakula ofisini, nikauliza kimetoka wapi hiki chakula? Nikaambiwa ni kutoka Kwa Nayce Longe ina milikiwa na yule Dada Aliye kuwa kondakta wa Tilisho, ndo nikakumbuka kweli miezi miwili nyuma Nancy alifungua hiyo longe ya kuuza chakula. Jana hiyo hiyo ikabidi nifuatilie muenendo wa Biashara yake hiyo, nimekuja kujionea maajabu, Binti anauza sana, Biashara ndani ya muda mfupi imekuwa na wateja, anafanya delivery Ofisi nyingi na majumbani. Huwezi amini mwezi mzima ofisini kwetu tume tumia chakula kutoka kwake na nilikuwa sijui, na nimemuuliza Bosi Kwa siku ana Mlipa shilingi ngapi, Bosi kasema Kwa siku analeta chakula Cha laki Moja na elfu sita (106000), hapo ni ofisini kwetu tu, fikiria kama anatenda kama Ofisi hata nne inakuaje? Jumlisha chakula anacho uza pale pale, ni balaa. Na kitu kizuri zaidi, hotel nyingi ijumaa wao Wana uza biriani, ila yeye amekuja kitofauti, anauza vyakula vya asili, Ng'ande, ngararimu, mtura na kiburu . Hapa ndo unaona utofauti wa wanawake wa kichaga na makabila mengine. Hongera Sana Nancy umekuwa mfano wa kuigwa. #FikrazawakaliUPDATES

mrhjuma1
mrhjuma1
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 12:00:26 GMT
213513
5481
86
43

Music

Download

Comments

naycemoshy
Nayce :
Asanteh san boss na karibun sana na muendelee kuniunga mkono ili nifungue tawi jingine asante sana sana 🙏🏽
2026-09-12 20:25:14
239
hajiussi845
CAMANDA MITUMBA :
bora ujiajiri kuliko kuajiriwa
2026-09-12 12:59:17
47
manmyself
️ :
Biashara kama ni yako mwenyewe, ata ikiwa ndogo ni bora kuliko kuajiriwa! Muda ni mali sana!
2026-09-13 10:16:19
28
moonation1
Mods Dickson☑️ :
somo gani bwana embu acheni kututisha
2026-09-13 02:41:13
3
vick48719
vick :
Hongera Sana dada Nancy Mungu azidi kuibarik kazi ya mikono yako
2026-09-13 08:29:13
8
calveen24
Mèdeus Avil :
yeah mm mwenyewe nampendaga tu sana
2026-09-13 07:54:15
4
dedu2013
Dedu :
Location ya ofisi ni wapi?. Nipote zangu nikale kande mimi
2026-09-13 06:03:34
5
born.to.suffer12
Born to suffer :
Hongera nyingi kwake kwa ubunifu. Lakini sielewi Ng'ande, Ngararimu, Mtura na Kiburu. Ni vyakula gani hivyo au kwa kiswahili vinaitwaje ?
2026-09-12 20:41:55
0
mr..rotivi
MR. ROTIVI :
alitengeneza uaminifu. jina na sasa matunda🥰🥰🥰
2026-09-12 15:40:23
8
gagra0764
gagra :
hongera sanaaa dada,ubarikiwe Sanaa na mungu atakufikisha mbali sanaaa.
2026-09-13 07:52:58
0
eladiusseperatusk
Eladius seperatus Kaijage :
alikuwa mtumwa sasa ni boss
2026-09-15 15:47:32
0
sweet.j89
Sweet🍭 J :
huu ndiyo uchaga halisi hatufanyi kazi kwa kujionyesha huwa tuna malengo kichwani hongera mdogo wangu nayce mungu hakupe wateja wengi katika kazi ya mikono yako
2026-09-13 04:08:41
0
gladncia
sweet gee❤ :
Wanawake wa kaskazini oyee🥰
2026-09-13 09:08:46
2
subirahussen5
Subirahussen :
hongera sana dada
2026-09-16 10:44:50
0
belcamp98
Belcamp98 :
Michezo ya promo
2026-09-13 06:47:50
2
vivian.mmari
Vivian Mmari :
ongera nancy
2026-09-12 17:23:50
3
user3705248176785
#blackbeauty12 Tz :
😅sana
2026-09-12 21:16:46
2
noreenkimaro
Favoured_nono :
kuajiliwa nikaz jaman
2026-09-13 09:52:05
1
jackson.charles.s
Jackson Charles Shao Shao :
safi dada kujiajiri ndio mpango mzima
2026-09-12 17:40:55
8
asifiwe.kilas
asifiwe kilas :
mim ckufahamu ila mungu akulinde ulie posti hii👆
2026-09-12 13:00:19
2
nassr_edward45
@PAKA TOZZY 🐈‍⬛🐈‍⬛ :
Good 👍👍
2026-09-13 18:25:43
0
kinole.yetu
Kinole Yetu :
izo usda sasa muombee dua
2026-09-14 18:27:43
1
daniel.simon924
Daniel Simon :
mungu ni mwema...
2026-09-13 22:15:18
0
m.amjumas
m.amjumas :
Njia Sahihi Ya Ujasiriamali 💯
2026-09-13 18:52:14
0
fruit.ernest
Fruit Ernest :
akili kubwa
2026-09-12 16:12:18
0
To see more videos from user @mrhjuma1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

#wutheringwaves #wuwacreator  Japan, piezoelectric tiles are used to convert the energy from people's footsteps into electricity. They're installed in high-traffic areas where large numbers of commuters pass by and are used to power LED lights and displays. I think this is a great way to build a sustainable society and smart cities. What do you think about this technology? #บรีสเอกเซล #freefire_lover #ท้ายExcel #ไฮไลท์ฟีฟายIn Japan, piezoelectric tiles (piezoelectric tiles) are used to turn the power of people's footsteps and walking #garenarov #rov In Japan, piezoelectric tiles (piezoelectric tiles) are used to turn the power of people's footsteps and walking into electricity. The energy generated by millions of commuters every day is harnessed to power LED lights and displays in crowded places like Shibuya Station. Achieving a sustainable societyand smart city It's a great technique for#wibgajian #荒野行動 #荒野#荒野女子# Njoy #スマブラ#sp#理下#荒野#対複 umamusume pokemongo dragonballlegends projectsekai fategrandorder arknights azurlane mobilelegends mlbb honorofkings hok leagueoflegends wildrift pubgmobile The freefire Valorant Minecraft roblox gaming gamer mobilegaming gameplay gamingclips gamingvideo gamingcommunity esports proplayer ranked viral fyp foryou foryoupage trend trending viralvideo tiktokviral animegaming animegirl animeboy animeart animeworld animejapan japananime japan tokyo akihabara nihon šk #war #gyat #reddit tiktok #cs2 #mw3 #highlights #redditstoriestts #mortalkombat #fc24 #zepetoapp #monkey #adventuretime #mk1 #totaldrama #free fire #spiderman2 #mortalkombat1 #npc #hololive#gamesnotiktok #otaku #a #japanese #travel #stitch #mexico #kyoto #japantravel #wtfmoments #fncs #totaldramaisland #cosplays #manotouhinh Hanto Hiln Japan, piezoelectric tiles (piezoelectric tiles) are used to turn the power of people's footsteps and walking In Japan, piezoelectric tiles (piezoelectric tiles) are used to turn the power of people's footsteps and walking into electricity. The energy generated by millions of commuters every day is harnessed to power LED lights and displays in crowded places like Shibuya Station. Achieving a sustainable society and smart city It's a great technique for # Add 1st 0 #anime#animeedit #animeedits#animeclips#animefyp #an imefan #animefans#animecommunity #otaku# Share manga #narutouzumaki#sasuke#kakashi#boruto TON NE #onepiece#luffy#zoro#sanji#nami#ge ar5#naruto #jujutsukaisen#jjk#gojo#gojosatoru#it adori #sukuna #demonslayer#kimetsunoyaiba#tanjiro #nezuko #zenitsu #AttackOnTitan#aot#levi#erenyeager# mikasa #spyxfamily#anya#anyaforger #dragonball#dragonballz#goku#veget a #chainsawman#denji#makima #bluelock#isagi#bachira #haikyuu#hinata#kageyama #tokyorevengers#mikey#draken #hunterxhunter#gon#killua 9 ... #sololeveling#sungjinwoo #pokemon#pikachu#pokemonanime #GenshinImpact#genshin#hoyoverse #HonkaiStarRail#hsr 0 #zenlesszonezero#zzz #bluearchive #nikke#nikkegoddessofvictory #umamusume #pokemongo #dragonballlegends #projectsekai#fategrandorder #arknights #azurlane #mobilelegends #mlbb #honorofkings #hok #leagueoflegends #wildrift #pubgmobile #freefire #Valorant #Minecraft #roblox #viralvideo #game #animegaming #animegirl #animeboy #animeart #animeworldzone

About