@chatta_store: Dress Available❤️🔥30,000Tsh Tupigie au whatsApp 0655282288 Tunapatikana kigamboni kisiwani #readytowear #tiktoktanzania🇹🇿 #viralvideo #taarabuchallenge #fypシ
Chatta_Store
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 12:01:13 GMT
Music
Download
Comments
mrs hamyar💍❤🔐 :
samahn dada naomba uwe unaruhusu post zako ziwe zasevika jamn
2026-09-26 16:44:48
5
𝒛𝒖𝒖𝒉 𝒃𝒂𝒃𝒚 :
Mbona umefanan na wale twins waloimba song inayoitwa sio kwa ubaya yan umenana nao san👌😘
2026-09-12 20:26:49
2
Sweetie mobetto💕💋 :
nguo nzuri
2026-09-13 16:05:13
0
Zawadi Abed :
mpo wp[Heartwarming]
2026-09-20 09:20:08
0
kipepeo🦋 :
mashallah
2026-09-13 16:16:36
0
@yusra :
mpo wqpi
2026-09-13 07:26:59
1
Arysher_Thalatha :
mambo yangu yanawahusu nn.
2026-09-12 18:32:21
1
fatime :
mpi wapi
2026-09-21 19:06:25
0
fooh :
shingapi dada nimnunulie mke wang
2026-09-12 19:16:41
0
agnes mwaya :
ssfi
2026-09-17 16:32:50
0
ma Tangaii💦💦 :
nzur mno
2026-09-14 08:08:47
1
Bky :
kwl kabisa
2026-09-15 17:01:20
0
Sabiha Omary :
hiyo nguo beigani?
2026-09-15 11:28:10
1
dayuu :
nyimbo inaitwaje
2026-09-17 14:08:47
1
miss 🌹 :
duka ndio lipo huku kigambon kwa Steven kipenz
2026-09-23 13:09:18
0
Aziza Fadhil :
unapatikan wap
2026-09-14 12:59:51
0
Munirah Yeshi :
how much
2026-09-15 08:49:03
1
@khamis_2008 :
ikiwa mishono vizur munaifanya isiibike ila ikiwa haina mpango munayacha watu wachukue nnaniuz
2026-09-21 18:31:08
0
ummy Ayra :
unapatikana wapi
2026-09-14 15:34:25
0
hamida hamad :
naitaj kipenz mko wap
2026-09-14 16:21:16
0
lati lati :
bei gani
2026-09-19 12:27:25
0
Mariam Yusufu :
mshono mzuri
2026-09-14 20:29:38
0
Nadya Issa :
pambe
2026-11-06 04:56:52
0
ASMA ABAYA TZ 👗 :
unapatkna wap
2026-09-14 08:06:46
0
To see more videos from user @chatta_store, please go to the Tikwm
homepage.