Dubani hawana nchi kavu inayotumika kwa ajili ya ujenzi au kuuza viwanja wao wanauza sehemu ya maji kwahy mmiliki inabidi ajaze mchanga baharini ili kupata kiwanja cha kujenga nyumba. Huko Emirates hasa hasa Dubai na Sharjah wana uhaba wa ardhi kwhy wanatumia bahari kwa ajili ya ujenzi wa nyumba. Mm nimekuwepo huko miaka ya 2005 hadi 2010 kwahy nilishuhudia hayo mambo yakifanyika na mchanga wanautoa Dubai Desert.
2026-10-14 16:45:41
1
ISERE WA ISERE :
kumbe ndio walifanya hivyo kweli dubai walijipanga kuishangaza dunia
2026-10-10 08:00:56
1
Hasamtu Group | Zanzibar :
Allah akbar
2026-09-13 11:46:53
1
Pakamaa :
no
2026-10-07 22:39:46
0
Zungu used spare parts.🇦🇪 :
🥰
2026-10-11 15:47:45
0
josefumichael302 :
ndo Leo nimesikia
2026-09-22 15:43:17
0
Enkawuo OO Nkishu :
Go go go bro,
2026-09-12 13:02:58
0
rifaakh tv 3 :
hata sisi tulitengeneza kisiwa cha sanane mwamza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-14 13:36:37
0
Eliasi Donald :
siku tsunami ikiwakuta wataona moto
2026-10-03 18:15:59
1
Black smocks :
😁😁😁
2026-09-19 19:35:25
0
mashaka ezekieli tz :
😳😳😳
2026-09-15 09:19:02
1
To see more videos from user @ke_matthew, please go to the Tikwm
homepage.