Msiue hao jamani wana haki ya kuishi pia guys please🙏🏻🥹 peace to the fallen
2026-09-12 12:39:48
9
JØHÑÑY Faru🦏 :
game limeisha🤣🤣🤣🤣
2026-09-12 23:20:07
1
The D-Star💫 :
kwel mtu unamuua binadam mwenzako hivyo kwel
2026-09-12 21:06:45
4
Junta :
Amefanyaje??
2026-09-13 11:45:10
0
josephmwenda375 :
kwaiyo mmepata faida gani
2026-09-12 18:53:34
2
Bi Alu🥰 :
jamani da😭
2026-09-12 23:37:21
1
Leonard Nyagilo :
Wamewakosea nini?? Mbn hamna huruma aisee
2026-09-13 07:30:46
0
Dalali Dodoma Muddy :
Kila binadamu ana Haki ya kuishi😩
2026-09-13 10:45:14
0
ander :
Sio poa
2026-09-12 18:02:50
1
mkali dread :
siyo vzr jmn
2026-09-12 23:09:17
0
@official_kame jr👑 :
mnashangaa nn sasa .msaidieni
2026-09-12 21:40:40
0
mctaygajeshi8 :
kafany nn
2026-09-12 14:32:46
0
ngwi@47 :
sijapend aseeee daaah
2026-09-12 20:14:47
0
versuche es nie wieder :
serikali ina mkono mrefu tanapa sio ndugu zenu....
2026-09-12 20:43:16
0
Deographer :
Inasikitisha sana kuona viumbe wengine wakitendewa ukatili hivi 😥. Wakati mwingine tunasahau kwamba dunia si mali yetu sisi wanadamu pekee. Kila kiumbe kina haki ya kuishi na nafasi yake katika mazingira haya. Tujifunze kuwa na huruma na kuheshimu uhai wa viumbe wengine. 🥺💔🙏
2026-09-12 22:19:06
0
mŕ. ýųw@h! :
acheni kuwauwa jmn nawao wanahaki ya kuishi 😭😭😭
2026-09-12 19:33:21
0
I_Mansoorat :
Dah msingemuua uyu ni rafiki mzuri sana😭😭😭p
2026-09-13 07:10:00
0
Mr Lamba Efx :
anatibu kiguma na marazi mengineo
2026-09-13 11:29:56
0
Gallant Tz🎮 :
wamakonde bwana
2026-09-13 07:21:34
0
ABUU :
mboga
2026-09-13 08:44:30
0
dullapee_53 :
Soon TAARIFA zenu ntaziona kupitia itv
2026-09-13 07:35:32
0
T BOY MSAFI :
kiteo chetu chabaa njoo ukuuu
2026-09-13 06:50:31
0
genuinehomedecor _ tz :
2026-09-12 15:07:45
0
To see more videos from user @chiefpengo, please go to the Tikwm
homepage.