@healthyfity1: Kuhisi koo lako linawasha, kavu, moto unapanda kutoka tumboni hadi upande wa koo na kifua, mapigo ya moyo yanaenda kasi, tumbo kujaa gesi, kuhisi kitu kooni hizi zote ni dalili za acid reflux.. JE uko tayari kurekebisha mfumo wako mzima wa chakula??Unataka kurekebisha mfumo wako wa tumbo (acid reflux) Na koo??. Basi ni lazima kurejesha afya ya mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula yaani kwa 1.kuweka sawa msawazo wa acid tumboni 2.kurekebisha valve inayotenganisha tumbo Na koo 3.kutibu michubuko na vidonda tumboni na kooni. 4.kusafisha mfumo mzima kutoka kooni adi njia za choo. 5.kuongeza msawazo wa bacteria wazuri tumboni JE uko tayari kurekebisha mfumo wako mzima wa chakula?? #acidreflux #digestivehealthclinic #sorethroat

HEALTHY FITCLINIC  DR Geaz
HEALTHY FITCLINIC DR Geaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 12:18:42 GMT
10518
119
4
4

Music

Download

Comments

user6965013158848
lunah dee :
mi hadi nmechoka naumwa na shingo mishipa ya shingo kichwa inauma gums aaii mungu 😭
2026-09-14 08:30:33
1
To see more videos from user @healthyfity1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About