miaka 25 nipo home nataka ifike 30 niende kuishi kwa dada 😂
2026-09-13 19:37:16
3994
🥀 :
wangapi atuwezi ishi nyumbani🤣
2026-09-13 10:28:39
4313
warboy🧠💪 :
ata Yesu yupo nyumbani kwa baba ake
2026-09-13 23:57:26
2007
zanne :
anafurahisha kama sio mpenzi wako😂😅😂😅
2026-09-14 18:36:12
851
shabani yusuph :
kwenye maisha inabidi usieleweke kama uyu mshikaj😁😁
2026-09-13 12:42:32
988
Teddy :
wangap tunataman at kupanga lkn familia zetu hazitaki kusikia kabc juu yahilo😳😳😳😳😳😳😳
2026-09-14 10:07:11
464
sarhash😍 :
ukimsikiliza bila makasiriko anakitu😂😂😂😂
2026-09-15 06:32:41
289
Missing my mum :
Huyu ni mimi kabisa jmn
2026-09-13 07:56:13
240
Katushabe Rugabwa :
Kama wazazi wangu awajawai kupanga mm nani nipange
2026-09-13 18:55:41
251
user7008387244990 :
hii nayo ni bonge la content hahaaha
2026-09-14 15:06:12
213
Director_jozky :
Siwez ishi bila wazaz wangu😁
2026-09-14 07:16:21
246
Pakei :
Yesu mwenyewe mpaka leo yupo mbinguni kwa baba yake mimi nani niondoke nyumbani
2026-09-14 07:57:33
146
𝐟𝐞𝐭𝐭𝐲🎀❤ :
wangap hatupendi gubu la nyumbn tumeona bora tukajitafute
2026-09-16 17:24:42
68
aliethcute :
10/10
2026-09-14 06:17:56
15
Funga@08 :
Kila mtu aende kwao baba aende kwao
2026-09-14 05:47:27
110
🦋mrs 👑kinglov💍👩❤️💋👨 :
mi nimeshindwa na nimeanza kupanga nikiwa na miaka 18
2026-09-17 12:41:48
10
Prisca Edward❤️🦋 :
😂😂😂😂😂 kumekucha
2026-09-14 06:14:09
8
Sinamiakatz :
okay poa
2026-09-14 05:14:45
3
Bilike JCY :
umetisha mkuuu
2026-09-13 18:58:19
5
innocent menei :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman🥺🥺