sheikh othman maalim mungu amuweke kwa hakika sisi wengine tumeongoka kupitia mdomo wake.
2026-09-12 14:21:59
57
ngoyibusinesconsultant Ltd :
sheikh walidi..ni mtaalamu wa somo la rugha na siira yani mwenendo wa mtume muhammad s.a.w. othmaani maalim ni mtaalamu wa rugha ya kiarabu na hisitoria za manabii
2026-09-12 17:11:08
12
kitasangopesape :
watuwavisa niwaongo bhn
2026-09-12 15:00:14
3
mounah love 💕 :
hivyo visa mimi ndio vimenitoa nilipokuwa asaivi alhamdulilah sina chakusikiliza kwa muda ispokua visa na Quran
2026-09-13 04:46:01
5
fatmamuhammed194 :
na mm napenda kwa sbubu ya visa vake na saut yake
2026-09-12 14:18:12
8
dannycrosheiya :
Napenda sana mafundisho ya maalim othman,lazima asome quran
2026-09-13 07:49:00
5
RESILIENT ⚓ :
نَقُصّعَلَيْكَأَحْسَنَالْقَصَصِ بِمَآ أَوْحَيْنَآ إِلَيْكَهَٰذَا الْقُرْءَانَوَإِن كُنتَمِن قَبْلِهِۦ لَمِنَٱلْغَٰفِلِينَMaana kwa Kiswahili:
“Tunakusimulia wewe hadithi iliyo bora kabisa kwa kukufunulia Qur’ani hii. Na hakika kabla yake ulikuwa miongoni
2026-09-13 14:41:01
0
user6594018617143 :
ili tupate mazingatio naam shekh wangu kipenzi
2026-09-12 12:58:11
5
banka✨️🦾📌 :
sheh walid mashallah
2026-09-12 12:42:58
2
queenshibaskitchen :
hata mie nampenda sana Othaman malim
2026-09-13 08:19:20
1
Eddy Charming74 :
mm shekhe akitoa sana visa ndio huacha muda wng nikamskiliza vzr ili nipate mazingatio
2026-09-12 16:18:18
4
user8461727984372 :
nampenda Othman Maalim sana🥰🥰🥰
2026-09-12 15:55:26
4
YAA DHALQUWATIL MATIN :
Othman maalim Allah sw Amlipe mema Daima
2026-09-14 10:30:21
0
Anco jey..@72 :
mwambie hajuwi, sisi tunampenda Wala hatutamani siku Moja aondoke,, tunataka milele awepo
2026-09-13 11:56:09
1
King 👑 musutu@mohaa :
izo historia c ndo Quran yenyewe na Quran n visa .bila ya kuelezewa visa Katika Quran umma hatutaelewa lolote katika Quran Tena Alhamdulillahi sheikh Uthman maalim ana elimu tamu sana💓, wengine maisha yetu yalibadilika kwa sababu ya darsa zake 🙏
2026-09-12 18:16:15
1
💝Mic Barua :
enyew watu atufanani
2026-09-12 19:54:49
0
mtu pori :
walah huyo mtu simjui ila nimemchukua ghafla tu🙌
2026-09-13 15:34:51
0
Auntnaa Bint Mashimba :
othman Maalim ananivutia sana mawaidha yake.visa vinatufunza.kama ww uko bomba pia alhamdulillah
2026-09-14 16:39:23
0
Natasha atman :
Mm na mpenda sana sheikh osman mwalim
2026-09-12 21:38:51
0
saadasuleiman548 :
ameen yaraab
2026-09-14 03:59:47
0
Amb :
visa
2026-09-14 14:22:50
0
Kibanda Said :
Qur'an nzima ni visa tena vina mazingatio
2026-09-13 13:44:09
0
Mariam Ramadhani :
ALLAH AKBAR
2026-09-13 12:03:39
0
taa :
mbona wew maalim hakutaji mwanet unafungisha
2026-09-12 15:29:34
1
Hijaissa :
shee walidi ww nulu ya tanzania wamekutowa bado wanateseka na ww mungu akulinde mpaka mashe wana mipasho
2026-09-13 13:54:29
0
To see more videos from user @mubaraka_almakhzumiyy, please go to the Tikwm
homepage.