Ipo siku ntafanya kwa mom hongera kwa ulichokifanya
2026-09-12 16:40:58
67
shamiiy :
mashallah jamni one day🥰
2026-09-13 05:34:03
0
froz :
sasa mimi nalia nini
2026-09-12 16:45:21
22
LIYO🦂♏️ :
Me natamani nikaweka mabo na urembo mzuriiii kweny kaburi la mama angu, soon nipate hela tu🥺 atleast jamam😭😥
2026-09-12 20:00:44
15
🫧Bebgurlie🥥🤎 :
Wale wa kujiungamanisha
2026-09-13 07:05:25
3
gift🥰😍 :
One day yes mama angu 🙏🏾
2026-09-12 19:14:48
2
Anie💦 :
jamani hadi rahaa ...umefanya adi nmemkumbuka my mom ..R.I.P momy 🥹
2026-09-12 15:35:17
23
@Miriam Saidy💕🔐 :
Naamini ipo cku na mm nitamzawadia mama yang gari
2026-09-12 18:23:23
14
🦋🥂 :
Na mimi iko siku nitamnunulia mama yangu kila kitu anachotamani
2026-09-13 10:14:41
4
marselinarweyemamu :
wakina baba polen sana
2026-09-12 18:15:17
1
Salome salom :
mungu nijibu maomni yangu
2026-09-12 22:14:15
2
Dath🥀 :
nataman n mm mama yng aje amwage machoz y furaha kwa kitu cha thaman nitakacho mpatia mungu tuone n ss🙏
2026-09-12 18:46:10
4
Naomi Mollel :
Mungu mmbariki mwanang na mm sku moja anifanyie surprise
2026-09-12 20:04:55
3
Maggiestylish_ :
najiunganisha na baraka hizi🙏
2026-09-12 18:25:30
9
Kiangi Kaluse :
Ikosiku mtoto wangu pia atamzawadia mamaake gari
2026-09-12 19:37:56
1
theonlqueenGladness7556 :
Umefanya jambo kubwa sarah mamaaa atakuwa anakuombea baraka kila leo kipenzi mamaa amefurahi sana jamani🥰🥰
2026-09-12 20:05:43
1
Abigaely Bakari :
sas mimi nafrah nn 🥰
2026-09-12 19:00:23
1
Happyness Samson :
polen kina baba mambo mazur yapo huku
2026-09-13 00:17:40
2
user91941513171468 :
Duuh mungu naomba na mm bc nimsaidie mama yangu niwapi nimekukosea mm mbn mm napambana Sana bila mafanikio nikumbuke mungu wangu yatosha nilivyozuguka mlima huu mateso masimago kudharauliwa kuonekn mm sio kitu
2026-09-12 18:34:18
1
user5902873785374 :
sasa namm nalia nin jamn🥰🥰🥰
2026-09-13 13:56:10
0
To see more videos from user @capturethree3, please go to the Tikwm
homepage.