@ustadhzaydibrahim: Qur'an Na Masheikh Waovu Katika Zama Za Mwisho | Video Kamili Ipo Tayari YouTube #UstadhZaydIbrahim #ukwelikwauwazi #uamshokwaummah

Ustadh Zayd Ibrahim
Ustadh Zayd Ibrahim
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 13:44:55 GMT
21153
1257
142
64

Music

Download

Comments

255_jovin
T785DMR :
me naona huyu ndo shekhee mkuu
2026-09-14 19:50:21
6
user2108626710844
achamiramrope :
sihukumu ila Nina mashaka na dini yako, haiwezekani content zako zote ni kukosoa Waislam na kusifia Wakristo tena kwa hoja zisizo na mashiko kabisa
2026-09-12 15:35:40
9
mcsuma
bin uther imin :
wataka masha bikin utapata ukisha pata badilika
2026-09-12 17:53:11
0
mohamedimohamedi72
Mohamedi Mohamedi :
Mungu angalia njaa zinavyozidi kuwatesa watu mpaka wanaamua kuupindisha uislamu
2026-09-14 20:53:34
1
user7410999011036
Bîñ Ally :
uyu shehe gan tena
2026-09-13 04:11:57
3
umulkuthumkheir
umulkultum :
mbona husomi aya kwa kiarabu
2026-09-13 05:01:18
1
thesaed2022
thesaed2022 :
Ahlul lkitab hawakumwita Nabii Issa Mungu au mtoto wa Mungu, Simple as that
2026-09-13 11:34:13
1
khamismohdkhamis
Khamis Mohammed :
Ahlul kitaab ni wale walioamini vitabu vyote lkn wakabaki na imaani yao ile ile na ipokuja qur’ani hawakuifata wakafata vitabu 3
2026-09-13 10:23:29
1
user1769812506136
user1769812506136 :
ukiwa mkwel utaonekana mbaya siyo mbaya mungu anakupenda😁😁
2026-09-14 09:34:44
3
mangara.mangara67
Mangara Mangara :
sikuizi kila shekhe anaubili mabikira yani kupenda ngono tuu🙏
2026-09-12 19:56:56
5
mastajey2
masta jei :
shekh mi naomba ukasome na nina wasiwasi na iman yako
2026-09-13 10:13:50
0
zomb_gn
zomb_gn :
Kaka nakukubal sana nipe namba nkutumie ela unaongea point sana kila sk
2026-09-12 23:52:41
1
user6163140269363
user6163140269363 :
Ahlu lkitaab ni waliopewa kitabu sasa je kama ni wakiristo wao wamepewa kitabu gani?
2026-09-12 19:33:12
0
khamisibnkahtangmail.com
khamisibnkahtan :
Ndio Kwa Mujibu wa maelezo ya mashekhe. Ahlulkitab sio wakristo. wapo sahihi. Ivi naomba munijibu Ni wakristo Gani walioitwa Ahlulkitab. Je ni hawa?
2026-09-12 15:37:03
0
akinipendamamayatosha
Lion of desert :
Tamka vizur neno Quran sio kuluan
2026-09-12 22:21:26
1
jefu254_g
Jefu🇰🇪 :
mashehk wanapata kutoka kwa magaidi wahuni wasio takia dunia yetu amani na umoja
2026-09-12 23:08:08
1
kesimpjfzy6
kesimpjfzy6 :
ahlul kitaab ni watu wa injili
2026-09-12 16:52:22
1
isaac_kamau
NIK98 :
Mungu atulinde sheikh.. unafundisha kweli tupu.. yaani uislamu ungefundishwa hivi basi upendo ungekua juu sana baina yetu hata ibilisi angechoka.
2026-09-13 05:14:13
2
1787myname
myname1708@#$ :
uislam umevmiwa sasa
2026-09-13 10:33:03
1
elieamisiyuma
Elie Amisi yuma :
retour
2026-09-12 16:50:54
1
jerrymushi
Jerry :
nimejikuta nikivutiwa na elimu yako 🙏 nimeku subsc youtube mafunzo ni mazuri yanafundisha[Pray]
2026-09-12 19:19:24
1
piper_6383
piper_6383 :
elimuyako naipenda
2026-09-12 16:12:20
1
zola52449
zola :
ninabarikiwa sana na mafundisho yako kaka usirudi nyuma type elimi
2026-09-12 14:33:51
1
ochu.fantastic
Ochu Fantastic :
sasa hivi mashekhe wanabishana wenyewe
2026-09-12 15:08:02
1
vs99127
vs :
waelimeshe waisilamu mmepata lulu msikilizeni
2026-09-12 19:14:36
0
To see more videos from user @ustadhzaydibrahim, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About