@mwalim_sule: Pole sana bimkubwa kwa kuondokewa na mwenza wako, Allah akupe subira na Amani ya moyo wako katika kipindi hiki kigumu, Amiin Zingatia! (Hii picha sio ya kweli ni AI ilotengenezwa kwa lengo la kuakisi upendo kwa Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania) 🇹🇿