laki nane na kataa mimi mwenye nipo Dubai huo ni uongo mkubwa sana
2026-09-12 19:08:45
19
OMY ZANZIBAR :
ungeenda ramez mall pale wana offer nzur 😁😁
2026-09-13 04:50:24
0
mimah nails 💅 :
nikichoka kazi za contract za ndani natulia kwetu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-13 14:23:49
0
Hajra cute 🎀☺️ :
me ndo maana nikitumia rial moja nachanganyikiwa😂😂😂
2026-09-13 02:12:46
10
khamisissa40 :
laki nane za Tz, lkn huko ni elf 80
2026-09-13 10:12:38
1
Abdul :
kaka laki 800,000 hazifiki hata dirham 200 havijafika
2026-09-12 19:49:03
1
Harmony :
Duuh, kaka kama umetupiga hapo kidogo😅
2026-09-12 18:49:54
0
Dianne Hendrk :
we uko omani ukishaamua kununua vitu huku usipige mahesabu na tz hutakaa ununue vitu mwenetu😂😂😂😂😂
2026-09-13 04:51:43
1
kitibar :
usitufanye ss washamba
2026-09-12 18:20:54
0
haleeem :
Na samak zimepanda bei mpaka naogopa
2026-09-13 05:17:32
2
king :
sio kwel unatupanga
2026-09-12 18:50:15
0
side :
hazifiki bana ila hiyo suprermarket isha itwa lulu naww unaenda 😂
2026-09-12 19:25:15
0
Jumanne Mahona :
sio kweli mzee baba acha kutupanga mm mwenye niko oman vile vile ila hapo umeongeza unaogeza sana sufiri 000 kwa reti 6750 ya sasa unataka kusema umetumia rial 120 hata kama ya reti ya zamani 7000 tusema umetumia 115 unatupanga sana
2026-09-13 02:58:49
0
Nana💘love077 :
Mimi siende shopping lkn msomaji mkubwa WA lisiti jmn nabakigi nimechoka Tu unakuta ndimu imegonga Rial 5 na ukiangalia NI kilo tu😂😂😂😂
2026-09-13 01:13:02
1
Bin Salim :
Sio kweli kabisa
2026-09-12 18:58:04
0
hayaat ❤️❤️ :
uku ukinunuwa kitu usibadilishe na pesa za nyumban yatakushinda mwenetu 🤣🤣🤣🤣
2026-09-13 02:28:49
9
Aishfah Jojo :
umeenda dubai mall mwanetu 😅😅
2026-09-12 19:18:57
0
Biubwa Aljahadhmy :
sio kweli mbona vitu rahisi labda mgeni hujajuwa pa kununuwa hata iwe sio seoson ya viazi ma carrot hazifiki lake na ne hata siku moja. samaki ndio rahisi haswaa .
2026-09-13 06:03:36
0
fatma :
viazi tz sh elfu moja tuu 😁😁
2026-09-12 18:26:00
0
amina dada :
sio kweli bahn umetupiga
2026-09-12 18:59:01
0
Ramadan Amour :
upo nchi gani mana hapa Dubai nipesa kidg hivyo😳😳
2026-09-12 19:56:25
0
Rare.Elamyra99 :
sio kweli
2026-09-12 17:22:35
0
To see more videos from user @t_kamazari, please go to the Tikwm
homepage.