@mshauri.serikali: Niisihi Serikali, Ipitie Sheria zetu upande wa Makosa & Hukumu zake kupitia Taasisi yetu ya Mawakili (TLS) irekebishe baadhi ya Sheria za Zamani ambazo zinaonekana kuonea Raia wetu au Sheria Andamizi. #MshauriSerikali #TikTokTanzania🇹🇿 #SamiaSuluhuHassan #KenyanTiktok🇰🇪 #SheriaTanzania
Kaka apo uliko Upo maskanii [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]tuteteee wenzio[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-13 04:28:24
0
Bro nkwabi :
Points
2026-09-13 04:38:49
0
officiallyhaidari :
You think beyond👊👊👊
2026-09-13 04:29:16
0
Daddy :
Give thanks my King
2026-09-12 21:25:05
1
Ndg Brawn :
uko sahihi Mangi
2026-09-12 14:45:06
7
Eric Msekwa :
Umeongea points za muhimu sana, wakoloni walituaminisha kwamba bangi ni mbaya ili biashara ya sigara isife
2026-09-12 20:11:23
9
Impossible :
Ushauli mzuri inabidi wapitie upya vishikizo vya sheria
2026-09-12 20:23:23
3
user8528000913801 :
kwery kabisa ase
2026-09-13 04:46:05
1
@Reuben_sayi :
point
2026-09-13 05:15:07
0
Humble man :
fact
2026-09-12 21:49:33
1
Joblondon Loondon :
Slt sana KK umeongea pwent,,
2026-09-13 05:22:25
0
perfect-hair-design salon :
facts
2026-09-12 22:10:55
1
ricch mapoy :
kweli kabisa
2026-09-13 05:26:12
0
mohamedi mnyika :
😳😳 baaaas makosa😂😂
ni kweli haina madhara youyt
2026-09-13 01:21:42
1
PETER :
hata kama ni sheria lakini polisi,au viongozi, hawapaswi kufurahia raia kwenda jela hovyo, lazima tuwe na adhabu kulingana na ukubwa wa makosa pia adhabu kulingana na mtu amefanya hilo kosa mara ngapi, umeongea point kubwa sana nakubali hilo, hata hio point ya nida ni jambo la kupewa uzito sana
2026-09-13 03:13:08
1
santakwazi :
serikali ya kipuuzi sana .
2026-09-12 14:57:27
3
kinglion :
Year ni ushaur mzur sana ila tusubir kwanza maana tumefiwa
2026-09-13 05:18:08
0
shamilachipyangu :
d sawa kak
2026-09-12 19:10:03
1
diamon :
og
2026-09-13 04:40:43
0
Mathias Mbiyu :
kweli kabisaaa
2026-09-13 05:27:21
0
Bezalel Ark :
naiba bilioni 50 serikalini, 😂😂 serikali inaita tuongee niwarudishie milioni 100
2026-09-13 05:06:25
0
kida nux :
kabisa
2026-09-13 05:03:42
0
goku.Mastory :
2026-09-13 05:05:29
0
Mihambo Jr@ :
kuna jamaa anaitwa Yohana mkonya amefungwa miaka 90 jela kwa kosa la kukutwa na mbegu za bangi na pombe ya moshi(gongo) ye anamiaka 54😭🥲😭👆 inauma sana.
2026-09-13 05:20:27
0
To see more videos from user @mshauri.serikali, please go to the Tikwm
homepage.