Nina swali km3 Ina esabika kutoka wapi hapo kwenye daraja
2026-09-12 19:25:21
1
NOVA 🌟 :
busisi
2026-09-12 18:37:40
3
Constantine Mussa :
huyo alikua kiongozi sio mbumbumbu kama wengine Tanzania tulipigwa pigo baya sana haliwez kusahaulika vizazi navizazi😌😌😌🙂↕️🙂↕️🙂↕️🙂↕️👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪✊✊✊✊
2026-09-13 19:33:51
4
Meshack Pambe :
pumzika kwa aman mzee
2026-10-21 10:55:49
0
Alp Njigo :
Hii itabak kuwa kumbukumbu miaka yote
2026-09-13 07:22:24
2
Theresa :
Apumzike Kwa Amani ,vita alipigana na aliiweza🙏🙏
2026-09-28 19:29:25
1
Joseph Erick :
JPM popote ulipo tunakupenda baba hauko nasi tena,,ila matunda ya uongozi wako mpaka leo tunayaishi
2026-09-14 07:03:32
3
user7565386992946 :
huyu Mzee ameweka arama kubwa sana kuliko Marais wote Tanzania
2026-10-20 17:12:17
0
MPITA_NJIA :
tutakukumbuka vizazi vyote sie watanzania😩😩😩😩😩
2026-10-19 18:13:39
0
C.M :
mwanza hii
2026-09-12 17:53:55
2
HappynessChamba🔨 :
Ahxante xana baba yet John Magufur daima tutakukumbuk wa Tz
2026-09-25 12:09:26
0
Rupojabahati :
apumuzike kwaaman
2026-09-28 18:41:16
0
STEVE OG :
busisi
2026-09-27 17:22:01
0
JandoAfrika :
#HESHIMA
2026-09-29 20:32:07
0
Gelard Kayombo :
hatokuja tokea yoyote kwa alama hyo aseeeee
2026-10-08 17:35:07
0
Esirome mswahili :
Asante kwa yote umefanya baba wetu, endelea kupumzika kwa amani
2026-09-27 15:19:09
0
Jumanne Nzwila :
akumbukwe kiongozi
2026-09-27 11:31:35
0
user9296854811330 :
mzee siwezi kumsahau daima tumuombe apumzike kwa amani
2026-09-28 04:20:42
0
muhoni motiba :
hayupo kama jpm
2026-09-23 16:38:45
0
Mahmoud Nassoro :
I [Red heart] JPM
2026-09-22 16:45:19
0
paul thomas :
pumzika salama baba
2026-10-21 11:05:42
0
Baraka kabugwe :
Alikuwa mzalendo kwelikweli.
2026-09-24 18:51:37
0
Aman kayaya :
Arikua kiongozi sio mhufum
2026-09-24 17:42:28
0
mtz :
ipumzke kwa aman nafc yake
2026-09-24 08:40:20
0
assaaiyin :
magufuli was the best president ever
2026-09-13 18:40:24
0
To see more videos from user @kg.builders, please go to the Tikwm
homepage.