@mrshadracktz: #creatorsearchinsights #creatorserachinsights MR MAPANGA: “Kama kila goli timu inaongezewa thamani na kupewa milioni 5, basi hizo fedha bora zingepelekwa kwenye maeneo mengine yenye uhitaji. Wachezaji wenyewe tayari wanalipwa.” Je, unaunga mkono mtazamo wa Mr Mapanga kuhusu namna fedha zinavyotumika kwenye mpira wa Tanzania? #babahapumziki #MpiraTanzania #MrMapanga

Mr Shadrack
Mr Shadrack
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 15:23:55 GMT
49627
3413
169
170

Music

Download

Comments

zapunxe
zapunxe :
TZ is buying goals ?
2026-09-13 06:24:45
1
user4511126916823
viatu bei poa :
😅 🤣🤣🤣 Mzee unaakili sana Yani bora ww ndo ungekuwa rais kuliko😊
2026-09-12 16:16:41
38
mannigah7
mannigah :
huwezi kumaliza shida za watu Tanzania mzima kwan pesa ngapi zinatolewa na bado watu wanashida. kile kinachofanyika ni hamasa tu kwaajili ya kuhamasisha vilabu vinavoenda kimataifa. Alafu mpira na siasa ni vitu viwili tofauti na ndo maana mpira unajiendesha wenyewe kwan una raisi wake kila kitu unajitegemea.. kwaiy sio kila jambo tunatakiwa kupinga muhimu ni kupinga kisichokuwa na manufaa na taifa na kuunga mkono jambo lenye umuhim
2026-09-12 17:31:00
4
jpm7298
JPM :
jamaa ana akili sana
2026-09-12 22:44:56
14
user1810314400800
mohamed :
nikwer
2026-09-13 04:53:24
0
majitaka939
alvin deus :
acheni uchochezi
2026-09-12 16:46:34
2
ally.mdemu5
Ally Mdemu :
jamaa Lina point[Tears of joy]
2026-09-12 16:34:16
4
masinderhoida
kemilembe :
Kuna maswali msimuulize huyu kaka jamani
2026-09-13 03:01:36
2
mahenge.jeremia
Mahenge Jeremia :
daaa toka nianze kumfuatilia huyu jamaa anaongea pointi sana
2026-09-12 15:38:55
17
henrico.twinzi
Henrico Twinzi :
big brain
2026-09-12 18:39:00
1
philip_ar0
Baraka Frenk155 :
mwarabu fighter
2026-09-12 17:15:59
2
sensema_1
TITO🥁🪘 :
ndio maana Kuna wizara ya michezo na wizara zingine Kila wizara na bajet zake bana
2026-09-12 16:25:32
5
willy.asha
Willy asha :
kwani Tanzania kuzaa unalipa?? enyewe Kenya tuko far
2026-09-13 04:21:20
0
bizo.emz
bizo emz :
una hakili sana boy
2026-09-13 04:45:22
0
bonnylove519
bonnylove519 :
nikaweke status ila mmh😂😂😂😂
2026-09-13 04:17:35
0
ndex_tz
Ndex :
kaongea point kk maana daah wanawake kuzaa ni gharama sana kaka
2026-09-12 15:39:10
7
user4259931471528
Andrew Patrick family :
daah napenda sana mimi😆😆😆
2026-09-12 21:19:43
3
mussakigmba
Mussa_kigomba :
aseeeh 🥺
2026-09-12 16:21:04
4
juma.jux476
juma jux :
daaaaa?
2026-09-12 18:32:40
2
dudu.baya54
dudu baya :
true
2026-09-12 21:33:38
1
user433943233
John Z :
uko sahihi 100% lakini hizo pesa sio za Samia ni za wananchi wanaolipa Kodi
2026-09-12 18:33:18
4
marianus.kakoko
Marianus Kakoko :
Duh!!!! jamaa kaongea fact sana!!!
2026-09-12 18:39:29
2
mfunzabeimwitula1
mfunzabeimwitula :
Mzee unaakili sanaa
2026-09-12 17:19:04
2
peter.jackson.yot
Peter Jackson Yotham :
Mawazo mazuri yapo huku jamani. Hii ni elimu ya bure
2026-09-12 21:22:48
2
jjbisa0
Maweso Finest :
2026-09-12 16:46:59
2
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About