@alvindevinci_: Kama hana dini, Yesu hana dini na Roho Mtakatifu hana dini. Mimi na dini wapi na wapi? Fikiri kabla ya kutoa mawazo yako! #foryou #kingdomofgod #jesusisking #gospel #simawazo

Kelvin Kennedy
Kelvin Kennedy
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 15:35:54 GMT
2031
194
34
1

Music

Download

Comments

gerson_tz
man of God✨ :
this is true gospel and me I stay here 🥰🥰🥰
2026-09-12 15:51:15
5
anniecollection21
Annie_collection :
content i look for 😊
2026-09-13 10:27:42
0
cathie497
cathie497 :
Yani umeamua Leo unawakwaza watu wa denomination
2026-09-13 04:53:37
1
user7348357416972
user7348357416972 :
sawa.
2026-09-13 08:48:54
1
itspaul131
zeus⚡ :
yesu hakuwa na dini mkuu?!
2026-09-12 17:03:43
1
justnoone2712
Noone :
Wameandika miili yetu ni hekalu ya roho mtakatifu Sasa kama yupo ndani yetu why mnEnda kumtafuta huko kwenye dini eti wafia dini???
2026-09-13 07:15:55
1
mrteamofficial00
mr Te amo💕 official🇹🇿 :
kwanz yesu akuwepo
2026-09-13 08:36:59
0
busybees291
Busybeesriders :
Yakobo 1:27
2026-09-12 18:51:30
0
victoryisourright
Honesty🌹 :
Usisahau YESU alisema dini ya kweli ni kuwasaidia wajane na mayatima Sasa Inawezekana vp unasema YESU hakusema neno dini???
2026-09-13 07:52:20
0
user2326800039755
Alex :
mfalme akikosea na akikosolewa wanaangalia aliyekosea ni dini gani. kama ni dini tofauti na ya mfalme utasikia matusi ya kila aina
2026-09-13 06:03:47
0
john.paul.mkuya
John Paul mkuya :
yesu alikuwa myahudi na ndio dini yake
2026-09-13 06:20:41
0
peterzabron169
great man :
hv Kwan kanisan huw tunachez unawezaj kumsif baba Yako huk tunachez cheza au wap imeandkwa tuchez hat malaik wenyew hawachez wanaimba tu
2026-09-12 21:26:40
0
holinsheet
Hoo Lee Sheet :
Waanzie hapa, jina Jesus halikuepo mpaka Karne ya 16
2026-09-12 17:21:32
0
To see more videos from user @alvindevinci_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About