@mzeewamastory: watu wengi hii video imewavutia sana 😱 baada ya kuona mto wakiasili, mto wa kulalia kitandani. kweli hii ni kitu cha kushangaza sana! 😲 ebu tazama hii video mpaka mwisho uone walivyoandaa mto huu.#tanzaniatiktok #tiktokkenya #trendingvideo #viralvideo #tiktokviral