@kawanga18m: HUYU MZEE ANABAHATI SANA TUMEMRUDIA TENA❤️❤️🔥🔥🙏 Unatafuta furniture nzuri, imara na za kisasa? 🛋️ Karibu @robby__furniture wanapatikanaTegeta Kwa Ndevu & Sala Sala jijini dar salaam Sofa, wardrobes, dining, bedroom sets na nyinginezo. 🚚 Tunatuma nchi nzima. 📞 0771 7290190 / 0744 290190

Kawanga18M
Kawanga18M
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 15:57:17 GMT
50350
4149
166
22

Music

Download

Comments

user2031939048826
123456 :
Alimpa mshagazi [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-12 19:50:22
0
bainity
Bainity :
Uyu mzee mjanja mjanja 😅😂😂😂
2026-09-12 16:09:52
48
fae0.1
🖤🦄 :
Kaweka na blich babu yetu😅🥰
2026-09-12 16:53:39
16
nayfatitham
nayfatitham :
mashaallah kawanga mungu akueke kuna ww alf kuna esko umbrella 🥰🥰🥰
2026-09-12 16:10:15
36
maryam.mohd91
Maryam Mohd :
mashallaah mashallaah mashallaah mashallaah
2026-09-12 16:56:29
2
peniac20
Peniacbaby :
Mzee ni mjanja sana😅 ila ana moyo wa shukuran 🥰
2026-09-13 11:35:26
2
canyboy_msanii
OFFICIAL CANYBOY :
very nice🇹🇿🫡🔥
2026-09-12 21:58:36
1
asmah652
ukht,A :
habar kawanga usmpe pesa jmn kamnunulie mahtaji muhimu Kisha ukaone kwakee
2026-09-13 09:51:06
4
kashmir.yusuph
Kashmir Yusuph :
nakukubali kawang ila tembelea na maspitalin kuwaon wagonjw na uwasaidee
2026-09-12 17:11:53
6
salma.francis3
Salma francis :
kaka allah akujalie kheri nyingi sana aisee
2026-09-13 07:42:52
2
amina.c71
Amina c :
libarikiwe tumbo lililokuzaaa Mr kawanga
2026-09-13 05:45:46
7
sakinakhalifa4
sakinakhalifa4 :
kawanga mungu akubariki sana🥰
2026-09-12 16:10:24
7
queen__lyn
Queen_lyn :
Mzee anasaidia kuhesabu nayeye?😂
2026-09-12 16:07:32
10
lucky.beauty882
lucky beauty :
sema me nampenda huyu mzee mchangamfu sana😂😂
2026-09-12 16:33:14
7
huseenmpongo
Hussein mpongo :
jamani mm Nina shida na namba ya kawanga mwennye nayo anitumie
2026-09-13 06:08:08
2
saumjengi3
Qauthary 💋💝 :
Fanya siku umtembelee anapoishi
2026-09-12 16:52:51
11
defnot.aisha01
. :
🥰
2026-09-12 17:39:28
1
hopemhagama
Hope Mhagama :
kawangwa barikiwa mtu akisema ubarikiwe baraka zinamiminika
2026-09-13 05:23:12
1
mwinyiseif8
Seif :
wasema mzee yuko mbele na mahesabu
2026-09-12 17:21:08
4
user9543936185037
user9543936185037 :
sijui ata nalia nn kwa furaa🥰
2026-09-12 16:50:16
2
aslina7877
aslina :
😭😭😭😭nimelia kwafuraha
2026-09-12 16:56:21
1
bishoobabalaogmail.com
Baba lao :
nimeipenda hiyo
2026-09-12 17:04:53
1
anna_01seleman
jackline :
nikajuwa ni kula maisha kula maisha 😂😂
2026-09-12 16:51:18
1
shuu.shufyna
shuu shufyna :
Kawanga
2026-09-12 16:41:59
1
mrs.pori5
MRS.PORI :
kawanga nakupenda sana kwamoyo wako
2026-09-12 17:03:11
2
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About