@yasproduct255: kuwesha kifurushi CHA unlimited katika laini yako ya YAS wasiliana na sisi Kwa namba 0775..400..584 NB: UNAUNGANISHIWA POPOTE PALE ULIPO. #YAS #tiktoksearchinsights #pocketwifi #InternetUnlimited #yasproducts @tiktok creators @YAS PRODUCT☎️
YAS PRODUCT☎️
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 16:01:36 GMT
Music
Download
Comments
rayshkeykeyraa :
had halotel wanayo
2026-09-13 09:36:23
17
Goodhope Mfariji :
mm Nina laain ya yas vp kuniuga na hicho kifurushi boss inakuaje??
2026-09-23 12:43:56
2
goldenboy 6240 :
mbn mtandao wenu unasumbua sana kwenye router shida nin na ndo kwanza tumelipia😔
2026-09-13 12:09:56
23
Lijendi :
Tisha sana mkuu🙌🏾🙌🏾
2026-09-15 13:13:39
1
MR.J.😇 :
170k bora nigonge wifi ya jiran 💔
2026-09-14 06:37:11
5
Her💕 :
Wacha tudumu na savana😂
2026-09-18 00:10:30
2
The East African Millennia :
wifi ndio nzuri, maana ukitumia wifi hata simu inakaa muda mrefu na chaji
2026-09-14 09:44:54
8
Youngrich Kileo :
napataje?
2026-09-13 16:33:25
1
lutendamomkisi158 :
punguzeni bei I've chini ya 55000/=.
2026-09-13 09:18:12
6
common sense :
uuhmm vodacom can
2026-09-13 16:53:56
1
funny tallent :
line bei gani
2026-09-13 16:01:54
1
Agro Meya :
shingapi unlimited kwa mwezi
2026-09-13 11:37:26
2
Q classic FURNITURE :
yas wakuongezee mshahara
2026-09-14 06:05:26
1
Di_money💸 :
kwa asie kua na nida ana passport ya kigen inaezekan ?
2026-09-15 12:03:06
1
Innocent Kamili 👊 :
mbona ujaniambia na mm
2026-09-13 09:12:31
2
Abuu Sa'ad :
mm nataka nipo bububu
2026-09-13 13:23:04
1
Abdul tz💫 :
sasa ww unajua leo
2026-09-13 17:29:48
1
GEM :
nahitaji
2026-09-13 17:35:43
1
:
Unaeza kuweka mb ata za bundle yoyote au lazima iwe 70k
2026-09-14 10:27:45
1
ilen💫❣️💖 :
nahitaji
2026-09-13 13:59:40
1
Mjukuu kipenzi ~ ♥️ :
Nikitaka kujitoa je kwenye hicho kifurushi
2026-09-13 18:02:49
1
Lady G 18 :
Mie unlimited nilianza kumiliki tangu 2023 nikiwa na line ya haloteli
2026-09-13 22:10:01
2
🦋 :
Simu yangu baada ya kushare kwa watu 10 😂😂😂😂
2026-09-14 11:37:21
1
Ashraq_qadry :
wakati elfu 45 natumia anlimited
2026-09-13 12:01:29
2
MJASIRIAMALI :
savana ni 49 tuu
2026-09-13 20:00:08
2
To see more videos from user @yasproduct255, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.