@seth.jacob88: 🌽 MAHINDI YA KUCHOMA YANAWEZA KUKULETEA HADI TSh MILIONI 7! Tuchukulie una shamba la mita 70 × 70 na unatumia mbegu ya mahindi aina ya DK 9089. Kwa mujibu wa maelekezo ya wazalishaji wa mbegu hii, spacing inayopendekezwa ni 70 cm mstari hadi mstari × 25 cm mmea hadi mmea. 📐 CALCULATION NI HII 👇 ➡️ Mmea hadi mmea: 25 cm = 0.25 m 70 m ÷ 0.25 m = mimea 280 kwa mstari mmoja. ➡️ Mstari hadi mstari: 70 cm = 0.70 m 70 m ÷ 0.70 m = mistari 100. ➡️ Jumla ya mimea: 280 × 100 = mimea 28,000. 🌽 Sasa kama kila mmea utakupa angalau mhindi mmoja unaofaa kuuzwa na ukauza mhindi mmoja kwa TSh 250: 💰 28,000 × TSh 250 = TSh 7,000,000. Haya ni mapato kabla ya kutoa gharama za uzalishaji na kuzingatia upotevu unaoweza kutokea. Hapa ndipo umuhimu wa kufuata kanuni bora za kilimo unapokuja—mbegu bora, spacing sahihi, lishe, maji, udhibiti wa wadudu na magonjwa, pamoja na soko la uhakika. 🌱 SHAMBA SMART — LIMA SMART 🔥 HII NI FACT, SIO MAONI. #ShambaSmart #LimaSmart #DK9089 #MahindiYaKuchoma #creatorserachinsights
Seth Jacob88
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 16:04:37 GMT
Music
Download
Comments
kwega1 :
Upo sawa, Plant population = Area/Spacing
(70×70)÷(0.25×0.7) = 28,000.
2026-09-12 18:13:03
0
Habib Abdul455 :
Ninalima na kufuga maana ni kitu napenda sana ila ninawasikiliza watu wengi sana wakiongelea kilimo hua wanaongea uongo sana ila kwako nimeona tofauti unaongea kwa experience ninaiona kabisa maana ninajua alaf unaongea ukweli wa kila kitu sio kama wengine uongo mwingi kuwadanganya watu. Hongera sana bro tunahitaji watu kama nyie
2026-09-13 08:43:10
3
morris_mgaya :
mbegu gani nzuri zaidi kwa kuchoma
2026-09-12 18:21:56
0
Helege :
Dk 31 vp nayo
2026-09-13 08:56:30
0
Emmanuel Mlawa :
mbengu ya 9089 mikoa ya Pwani inastawi
2026-09-13 11:22:52
0
msamimindemsamimi :
Habr mbole unaweka kiasi gani
2026-09-13 06:53:23
0
Sam G :
kumbuka kuna reject kk
2026-09-12 19:14:31
0
leonardpaulleke :
garama ya heka moja kuanzi kukodi shamba kutunza inasimamia shingap kaka
2026-09-13 09:10:26
0
Issa Lugome :
Kwel kaka
2026-09-12 16:10:35
0
Geofrey Eugen :
vipi kuhusu mahindi makavu yanafika ml7
2026-09-12 17:37:39
0
mariam salum :
soko je unalipata vip
2026-09-12 16:57:17
0
Saidi Mtindi :
je mfano mtu akitumia dk 777 je
2026-09-12 18:39:20
0
Familia Kibena :
wew set bhn nishaomba san namba zako naitaji mashamba uko ili kusudi nilime lakin aujawai kujibu mesej yangu 🥺
2026-09-12 18:30:00
0
Erick baba@aika :
soko ndo mziki
2026-09-12 17:38:38
0
venant tiba :
kama utapata Milioni saba, je utakuwa umetumia kiasi gani kuhudumia hilo shamba?
2026-09-12 18:10:59
0
mwaki boy :
nipo songea nakufuatilia sana bro we noma ila ngoja msimu huu tujarib na somo lako la maharage
2026-09-12 17:25:16
0
SP :
niliona wachina mahindi yakia za kuweka wanakata sehem ya juu yanakuwa na ujazo mzuri bila mapengo na makubwa/marefu
2026-09-12 20:35:29
0
Saidi Mtindi :
ahhh
2026-09-13 07:07:45
1
sec :
nitaleta ushuhuda wa kumi ,, nmelima hekari tatu yameaza kubeba ❤️
2026-09-13 12:18:51
0
Gasper lyatela :
🔥🔥🔥🔥
2026-09-12 16:30:22
0
To see more videos from user @seth.jacob88, please go to the Tikwm
homepage.