Mdada wa iringa unae soma koment ukiwa Dar es salaam magomen mwembechai tujuane Wenda tukawa marafiki
2026-09-12 22:02:24
26
last born wa mommy 🌹🌹🦋 :
lakin kama anapenz lakwel hatajali pesaa Kwa wale walio na tamaa wata sema pesaa ila mm kama nampendaa ntamchagua ye-ye bhn mapenz yakwel ni upendoo sio pesa bhn 😔😔😔