@rhb.machinery: 🏗️🔥 BLOCK MAKING MACHINE KUTOKA CHINA 🇨🇳➡️🇹🇿 Unataka kuanzisha au kukuza biashara ya kutengeneza blocks? RHB Machinery tunakusaidia kupata Block Making Machines kutoka China kulingana na mahitaji na bajeti yako. ✅ Mashine za aina mbalimbali ✅ Quality & reliable machines ✅ Tunakusaidia kuchagua mashine sahihi ✅ Product inspection kabla ya kusafirisha ✅ Tunakusaidia kwenye mchakato wa usafirishaji 📲 RHB Machinery: +255 784 903 901 🇨🇳 China: +86 155 2127 6139 📍 Ofisi: Talee Street, Sinza Mapambano, Dar es Salaam RHB Machinery — Tunakusaidia kupata mashine kutoka China. 🚀 #RHBMachinery #BlockMakingMachine #BlockMachine #BlockMaking #ConstructionMachine
🏗️🔥 BLOCK MAKING MACHINE KUTOKA CHINA 🇨🇳➡️🇹🇿
Unataka kuanzisha au kukuza biashara ya kutengeneza blocks?
RHB Machinery tunakusaidia kupata Block Making Machines kutoka China kulingana na mahitaji na bajeti yako.
✅ Mashine za aina mbalimbali
✅ Quality & reliable machines
✅ Tunakusaidia kuchagua mashine sahihi
✅ Product inspection kabla ya kusafirisha
✅ Tunakusaidia kwenye mchakato wa usafirishaji
📲 RHB Machinery: +255 784 903 901
🇨🇳 China: +86 155 2127 6139
📍 Ofisi: Talee Street, Sinza Mapambano, Dar es Salaam
RHB Machinery — Tunakusaidia kupata mashine kutoka China. 🚀
2026-09-12 16:13:05
1
T.Alimasi10🇨🇩🇲🇿🇩🇪 :
Bei gani?
2026-09-13 07:32:50
0
DICKSON :
about what acha uzungu sema milioni ngap
2026-10-21 09:19:23
0
doriskyambanza :
sasa sisi kwa congo tuna tumika kwa dollars, sasa iyi pesa ndio dollars ngapi
2026-09-13 07:27:36
1
memilius :
ungeweka full price hadi mtu anapata
usiogope
maana wachina walioko bongo wanaweka
weken tu comparison tufanye
2026-10-19 08:08:37
0
prince abdallah :
uyu tapel, mbona video ni 2 tofaut 😳
2026-10-25 07:17:21
0
Goonet_tz :
chai 1500 na vitumbua 5
2026-10-20 05:03:38
0
Block Machine Factory Wanming :
2026-09-14 13:14:16
0
wanyama :
jumla bei gani mpaka tz
2026-09-18 23:15:19
0
damas_d1 :
Hizo gharama zina include shipping to Tanzania? Kama hapana; ni ngapi gharama za shipping and clearing??
2026-09-15 11:50:40
0
Jacob Stephan Stephen :
mpaka naishika mkononi bei gani?
2026-09-12 16:47:17
1
Emanuel Mselle :
asante ms malekani
2026-09-12 16:48:46
1
Ndetenga :
VP ya tofali za kuchoma
2026-09-17 09:12:36
0
Justin s :
hii ni bei Gani. nipo Arusha
2026-09-19 08:06:03
0
Block Machine Factory Wanming :
2026-09-14 13:14:19
0
Altony tibiita's :
watanzania kwani hawawezi kutengeneza Hadi mashine ya kutengeneza tofali! shame 😭
2026-10-07 03:52:09
0
zachariah :
muna mashine ya kutengeneza sabuni kutoka kwa mixture adi machini yenywe
2026-10-14 16:22:24
0
BrickMakingMachine :
🥰🥰
2026-09-13 09:53:25
0
To see more videos from user @rhb.machinery, please go to the Tikwm
homepage.