@qiblatein_online_tv: Sheikh sharif mikidadi matongo akieleza jinsi majini walivyokuja sehemu ambayo yeye alipokuwa akifanya muhadhara bila ya yeye kujua huku akiwa na hisia kuwa wale hawakuwa ni watu wa kawaida lakini baada ya muhadhara kuisha ndio kupata uwakika kuwa wale walikuwa ni majini hawakuwa wanadamu. Kwa mahitaji ya tiba na dua mpigie simu sheikh atakusaidia kupitia namba za simu hapo chini👇👇👇👇 +255 632 427 478" 📺 Video Kamili Ipo YouTube — QIBLATEIN ONLINE TV 🔔 Kwa mawaidha na daawa zaidi: #QiblateinOnlineTV #Mawaidha #Daawa #Quraan #Uislamu #Upendo #Amani

QIBLATEIN ONLINE TV
QIBLATEIN ONLINE TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 16:28:44 GMT
8105
296
22
11

Music

Download

Comments

salehalattas395
saleh sharif attas :
wasanii wengi
2026-09-13 13:35:26
0
washawasha016
Atitiy :
sheikh samahani. au mtangazaji. naomba uniambie. anashida gani uyo shekh. mbona anaongea kwa tabu
2026-09-12 19:57:39
1
abdully336
ANDER HERRERA :
ALLAH AKUFANYIE WEPESI KWENYE KAZI YAKO YA DAWAAA
2026-09-13 15:12:42
1
elimuyadini1
ElimuNinuru🇹🇿 :
Hamna kitu hapo uongo tu.
2026-09-13 17:44:09
0
noble_pages1
ADHERE👣 :
imani ni bora kuliko dini... ukiona anadanganya bas jua kua dhima ni yake na mola wake,..ushaur wangu tutumie mitandao vzr na sio itutumie sisi... akili zetu zitupe elim co vyeti na sifa
2026-09-13 18:02:38
0
franklingambo28
franklingambo520 :
next
2026-09-13 05:24:57
0
ally.njiku
𝑨𝑳𝑳𝒀 𝓝𝓙𝓲𝓚𝓤 :
𝑨𝒏𝒂𝒚𝒆𝒊𝒕𝒊𝒌𝒊𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒔𝒉𝒆𝒌𝒉𝒆 𝒌𝒉𝒂𝒍𝒊𝒇𝒂 𝒎𝒂𝒌𝒂𝒓𝒂𝒎𝒂
2026-09-13 06:33:01
0
mwarabu.one
mwarabu one :
2026-09-13 07:01:02
0
user80696116115723
Muhammad :
Mashekh wapo radhi kusema uwongo ili tu tonge liende mdomo na awamwogipi allah na hawa ndo mashekh ambao wanaongoza watu ili wapate pepo ila ukweli hawa ndo wanawasukuma waumini motoni
2026-09-13 10:23:12
1
user5246851224353
user5246851224353 :
kamba
2026-09-13 16:27:29
0
cosmas.komba15
Cosmas Komba :
tuliambiwa hamna sharifu mweusi hapa vipi
2026-09-13 18:57:53
0
abou.kiswele
Abou Kiswele :
uongo babu huo
2026-09-13 08:57:28
0
alwatan8877
Marshall Zhukov :
Jee wajua kua katika majina wayapendayo majini n kuji ita sharifu ..
2026-09-13 05:44:44
0
saku32613
Saku(Adnan Kondo) :
😂😂😂
2026-09-13 05:38:22
0
darkestmaterial
Normal behavior :
😂🤣😂🤣
2026-09-13 13:46:18
0
To see more videos from user @qiblatein_online_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About