@grandprofessor4: #tanzaniatiktok #viraltiktok #viralvideo #leGrandprofessor1

Grandprofessor1
Grandprofessor1
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 16:42:28 GMT
21622
921
94
25

Music

Download

Comments

samuel.makena
Samuel.Makena :
Mbunge wa serenget ni waziri wa nn
2026-09-12 17:36:33
2
idrissamohamed16
idrissamohamed16 :
Miradi inajengwa kwa awamu nchi kubwa hii
2026-09-12 17:00:01
2
general_zaka
general_zaka :
UPO HOME KABISA HAPO MUGETA
2026-09-13 11:15:15
1
mr77531
Mr Thinker :
Barabara ya kutoka ukelewe kupitia Bunda mpaka Nyamswa zaidi ya km100 ilijengwa haraka ikaisha ila kutoka mgeta mpaka Mugumu km90+ ina zaidi ya miaka 9 hakieleweki kitu, sasa kuna ile ya kutoka makutano mpaka Mugumu kupitia Kiagata ni ugonjwa wa Taifa miaka 10+ hakuna hata 50km za rami, Tarime kwenda Mugumu kupitia Nyamongo Km90+ nayo ni wimbo wa taifa Serengeti wanajuwa wenyewe makosa yako wapi.
2026-09-13 06:02:58
2
iallando
Notorious :
hio barabara toka 2018 ipo hivo walichofanya ni kupunguza vifusi kuanzia nyamswa hadi isenye-Nata, NB Mbunge wa Serengeti Sio waziri, Waziri unaemzungumzia hapo ni wa kuteuliwa tu kwenye viti 10 vya Rais (Mh Nyansaho)
2026-09-12 18:13:33
5
don95877
don :
tunashukuru sana kutusemea
2026-09-13 07:53:26
2
wambura.nelson1
Wambura Nelson :
@Wambura Nelson:Kwa sasa Mkoa wa Mara hakuna wabunge, labda kwa sasabu hawajatokana na kura za wananchi ndiyo sababu wanadharau wananchi. Ni aibu kubwa sana! Halafu wapo tu wanakula posho bungeni wanajisikia vizuri tu!
2026-09-13 01:10:27
3
peternsopela0
user2708444048878 :
mwambie waziri au DC, au DED NDIO MWENYE BAGETI SIO MBUNGE
2026-09-13 10:34:41
1
sunday.nyagibore
Black Sunday ⚫️ :
kaka leoo umeongea jambo linalo nitesa miaka
2026-09-13 05:01:55
2
barakaferniture
Baraka furniture :
kazi yao ni taarifa taarifa mweshimiwa
2026-09-13 08:21:37
1
brigithaalbert6
Evlisaa💥 :
Mwache Mbunge wetu yupo bize kuzindua jezi za michezo 🤣🤣🤣
2026-09-12 19:25:00
3
hasheemrajab7
hasheem rajab :
ina muda mrefu sana mpaka madaraja hayajamaliziwa nilipita last week huko
2026-09-12 20:00:37
2
slemannandi25210842820
mwita francis :
professor awamu ijayo ebu njoo uchukue fomu ya ubunge utusaidie Hilo jimbo
2026-09-13 02:58:15
2
gitaroche3
gitaroche :
mitano tena -
2026-09-12 20:02:36
1
jaydenjackson2025
JAY'S "#42" :
mkuuu 🙏
2026-09-12 20:31:40
1
matasojames
Mataso james :
nyumbani huko
2026-09-12 22:42:41
1
user7527343813992
user7527343813992 :
Bro kuna hii pia ya Kutoka Musoma Kwenda Mugumu kupitia Kragata mzee miaka kumi zaid mladi umesimama na ni Barabal muhimu sana inaunganisha Wilaya na mkoa kwa uharaka zaid ila waliweka lami kilometa 3 tu kutoka makutana ya Zilo Zilo 😮‍💨😮‍💨😮‍💨😮‍💨
2026-09-12 20:26:00
1
user6182786876613
Zpark boe :
Yaaan Ukweli brow steel long time mpaka leoo hii barabara imetelekezwa na istoshe tuna viongoz how Ocyt come
2026-09-12 22:10:30
1
danielyboniphace0
Danny cutting mwanza :
bola utusemee
2026-09-12 22:57:57
2
user3268703804878
Simon mushi :
mitano tena
2026-09-12 17:36:02
1
user7955669554524
Baba Clotilda ♥️ Chief :
siyo salama kati kuanzia kat ya salama A na Sanzati
2026-09-13 04:09:57
1
diana.ndale
diana ndale :
Toka niko la 7 elf 2011 ad leo 2026 aijawah malizika sasa mvua zikinyesha aipitiki jmn ndo kwetu uko nachoka mm jmn
2026-09-12 23:06:26
1
m2ntera
Andrew :
Yaaaan Acha tu Kuna Ile ya kutoka TARIME MJINI HADI NYAMWAGA HADI SERENGETI TANGU ENZI BARABARA HAIELEWEKI😥😥😥
2026-09-12 19:46:01
1
yohana.matiko
YMB ELECTRICAL :
kabsa
2026-09-12 19:34:09
1
baba.d24
Baba D :
bro wakumbushe
2026-09-12 18:51:19
1
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About