@almecky_tz: Mwakilishi wa Jimbo la Kijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, @badriya_atai ameonyesha upande mwingine wa ubunifu na burudani baada ya kushiriki moja kwa moja zoezi la kukuna nazi katika Bonanza la Kijini Shangwe. Badria hakubaki kuwa mtazamaji, bali aliingia uwanjani na kushiriki zoezi hilo la asili pamoja na wananchi, hatua iliyozua shangwe na burudani katika bonanza hilo. Bonanza hilo limewakutanisha wananchi katika michezo na shughuli mbalimbali kwa lengo la kuimarisha mshikamano, kuchochea vipaji na kuhamasisha maendeleo miongoni mwa wananchi wa Kijini. #Zanzibar #Tanzania #Habari #Football #Trending

almecky_tz
almecky_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 17:38:58 GMT
16291
205
8
14

Music

Download

Comments

user8152961234236
ABUU MAAHIR :
.mikao mengi nimeiona
2026-09-13 09:09:58
0
user7025183330378
Bwam muu :
ZNZ ni 1 tu dunia nzm Mashallah Mashallah ❤️sn wallah mmpndz
2026-09-12 20:34:31
1
khermon.ally.nyang
Khermon Ally Nyange :
Hongeren Wana Kijini ...Ubunifu uliotukuka
2026-09-13 04:36:37
0
user4571113519830
user4571113519830 :
Badria amekumbukia akiwa Hermann Gmeiner
2026-09-13 05:22:08
0
humaira.karan
Humaira karam❤️‍🔥 :
Akaaa mdio mziki wa kukunia nazi uo🥰🥰
2026-09-13 13:40:22
0
jannihy
JANNIHY :
Mama wa gari 8 faini
2026-09-12 19:09:00
0
user8711993418113
hatfah05 :
😂😂😂
2026-09-12 19:33:26
0
To see more videos from user @almecky_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About