@islamicswahilinet: SAA YA KIFO IKIFIKA, DUNIA YOTE HAIWEZI KUKUOKOA! Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 17:43:15 GMT
7372
1356
7
23

Music

Download

Comments

aishajuma580
aishajuma580 :
Subhana allah
2026-09-12 18:15:01
1
dalichande686
Dali Chande :
Alhau akibar
2026-09-12 18:17:16
1
user8712276129678
cheyo1572 :
Alexander the Great
2026-09-12 20:00:49
0
user76912687412572
adamjuma :
allah swamad
2026-09-13 12:34:47
0
sweshazbey30
Sued Shaban :
😁😁😁
2026-09-12 20:36:26
0
jafali.wazoni
jafali wazoni 45 :
🥰🥰🥰
2026-09-12 19:05:58
0
nucmani.alii
ibnu bashiir :
🥰🥰🥰
2026-09-13 18:47:06
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About