me enyew sipendi
ss cjui mnashangaa nn en mostly of people we don like
2026-09-22 06:40:45
0
Mose luckyboy :
ata mimi sipendi ugali[Tears of joy][Tears of joy] taste yake ni mbaya mno[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 23:06:25
0
Ms.Adorable😻@ :
mimi nikipika ubwabwa lazima nipike na kaugali pembeni kukazia tumbo😁😁
2026-09-17 06:27:48
33
khania :
huy namuacha lakn wengn mjichangany 🤣🤣
2026-09-15 18:53:26
37
💥Linspapy🫶🌹🌹 :
Kila mtu skuiz hali ugali haya nipe mm nile
2026-09-12 22:19:23
25
ruu :
duh nataman nisingependa test ya ugali🤣😂😂😂
2026-09-15 11:39:15
14
🦋 🦋 P🦋 🦋 :
huyu anaongea ukwel
2026-09-14 18:13:51
25
Rose masata mgogo :
Hivi ni mnafikiri kila mtu anapenda ugali kula ugali siyo sifa bwana mi nimekaa na watu ugali kwao mtihani mimi kama mimi nimekula ugali karibia miaka kumi na sita mfululizo mkoan ila saivi ugali siuelew
2026-09-16 11:51:36
3
eudoxiemwilambwe :
namionea uruma sana jamen
2026-09-16 05:37:53
0
ezzye_one99 :
jamani jamani kaka wachuo tunakuitaji apa mwalimwengu wanasemaje
2026-09-12 18:58:00
8
Shuu Shuu :
Mi mwenyewe ni sababu tu ya njaa Ila ukweli Ugali sipendi kabisa nakula nkikosa hela😅
2026-09-17 22:03:52
4
Biba💫 :
mimi ugali naupenda 🥰lakini huwa namaliza kama wiki mbili sijala😳
2026-09-18 13:16:12
1
caren lovely ❤️ :
mimi chips sija wahi kula 😁😁
2026-09-19 20:08:20
1
Dev!! :
sem kwa huy nawez amin wakishua kwel yan kun wale wanasem hawaujui ugal at radha yake
2026-09-15 20:01:59
5
American boy 🕊️🇺🇸 :
wangapi tukiulizwa una kula ugar tunakataaa
2026-09-13 02:34:32
4
nope 💖🤙🤙 :
mmmmh huli ugali
2026-09-14 19:58:14
2
Miss V :
ware ambao tusio kura ugal kwa siku mbili tunahs kuna kitu kimepungua mwiln mpo?
2026-09-17 12:39:32
1
Dieumedieume :
tunao kula ugali tujuwane hapa😂😂😂
2026-09-16 22:15:46
1
jasmainer :
namuelewa
2026-09-22 22:02:33
0
waziri wa sherehe (Gitau) :
pengine si ugali wa mahindi ya kutoka kenya😁😁
2026-09-22 18:04:19
0
annitaxavier :
tupo wengi ambo hatuupendi ugali ira wengina tunakula kwasababu yaa shida ila tukipata ugali tuna achana nao
2026-09-22 17:20:12
0
Shamila hasani daudi :
kwakweli napenda ugali
2026-09-22 17:01:30
0
jmf :
hata mwanangu hapendi ugali,,hatanimchape hali
2026-09-22 10:58:37
0
Mick bando :
mimi nikipika ubwabwa lazima nipike na kaugali pembeni kama tunda🤣🤣
2026-09-22 00:43:16
1
pretty suu 🦋🦋💞 :
mwenyew xli ugal jmniiiiiiiiii
2026-09-13 11:43:23
0
To see more videos from user @bongobuzz5, please go to the Tikwm
homepage.