@wizara_sanaatz: Safari yake ya mchezo wa mpira wa miguu ilianzia katika Klabu ya Yanga Princess, kabla ya kuhamia Dux Logroño nchini Hispania, kisha Al-Nassr ya nchini Saudi Arabia, na sasa ameweka historia kwa kufika Washington Spirit ya Ligi ya Soka la Wanawake (NWSL) Marekani. Clara Luvanga mwenye umri wa miaka 21 ameandika historia hiyo kupitia usajili wa dau la dola Milioni 2.3 unaomfanya kuwa miongoni mwa wachezaji wa kike wenye thamani kubwa zaidi katika historia ya soka duniani.

HABARI/UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO
HABARI/UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 18:00:11 GMT
386
17
1
0

Music

Download

Comments

noelobies846
Leonardo Danvici :
Mungu akutangulie Dada yetu.
2026-09-12 18:24:59
1
To see more videos from user @wizara_sanaatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About