@babdeo: Mtume صلى الله عليه و سلم amesema anaefanya juhudi kumtia aibu mwenzake iwe kweli iwe uongo, M/Mungu hamuondoi duniani mpaka na yeye aaibishwe
Mi siku hizi nd nimekuwa mtu wa kujifungia nalia nikiwaza wanangu nachanganyikiwa siku nikionddodka sijui wtaiashije jamni Mung aniweke jamni wanangu wakue kue 🤲
2026-09-13 05:07:25
78
Mk12 :
Nirudisheni tena kuuona huu ujumbe tafadhalini
2026-09-13 07:55:41
114
Icy-heart🤍 :
Allah atusamehe na atuongoze waja wake🤲
this hit deep💔
2026-09-13 09:27:59
0
Queen Tauras35 :
Be strong bro
2026-09-13 14:35:51
0
ladyhawaa :
Nilichafuliwa nikatengwa kwa chuki za ndugu wa damu ila Alhamdulillah yamemrejea alienifanyia mara 100 zaid
2026-09-13 07:16:05
43
Sauda Khan❤️💕 :
ameen yarabbi
2026-09-13 18:34:14
0
megna :
subhanallah Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-13 04:32:56
20
Iptisaam Ally :
pole dear
2026-09-13 07:51:26
3
user6992009285025 :
usilie kuwa na subra
2026-09-13 08:10:39
7
Riarazuu collection :
True... Allah Kareem
2026-09-13 08:45:19
2
Mrs_Ismael💍❤️📌😍 :
Watu tuzingatie sana dini tusiishi tu maisha kwa ubabe
2026-09-13 05:30:09
14
A•M•A :
je, mzazi akimtia mwanae? 🙄
2026-09-13 05:24:51
10
my faa :
Pole best
2026-09-12 20:34:11
2
Nana_🥰 :
Nini tena kababaa 😳
2026-09-13 08:08:54
3
swaum salim :
Allha hatunusuru🤲🤲🤲
2026-09-13 08:05:55
4
Rahma Saad :
subhana llah😇😇
2026-09-13 08:08:16
3
Dolly face😻 :
pole kaka hio n kawaida ya binadamu .Allah atakulipiaa
2026-09-13 08:25:23
2
SALMA FASHION TZ :
pole sana boss wangu
2026-09-13 07:52:22
3
Boss Mama♥️ :
kweli na ALLAH anasema ukimstiri mwenzako na yy atakustiri🥰🥰
2026-09-12 19:48:40
7
black sun :
sijui unalia nini ila nakuelewa hii dunia ina mengi ya kuumiza
2026-09-12 21:10:50
6
rajah :
pole
2026-09-13 05:16:25
2
BINT BARKA ATHMAN :
allah akufanyie wepesi
2026-09-13 04:57:17
2
mama juja :
pole kaka angu
2026-09-13 06:53:52
1
@Zuu..!!😇🥰❤️🔥 :
jikaze habib,tuwe nasubra tu
2026-09-13 06:15:59
2
To see more videos from user @babdeo, please go to the Tikwm
homepage.