@ally.omary422: Hakikisha Simu yako iwe na chaji

DJ MTASHA OG01
DJ MTASHA OG01
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 18:27:02 GMT
341842
50176
619
775

Music

Download

Comments

sufimasika
Sufi masika :
mambo yamebadilika sana maana hao watoto wengine hawakufanyiwa hivo
2026-09-12 20:29:16
220
absinarashid
Absina Rashid :
mungu yupo atamfungulia mtoto wa hamisa Kila atakachohitaji kwa mungu
2026-09-12 19:10:33
394
madna..98
M@dn@ 🐇💫🍓 :
Mtoto wa ndani ya ndoa anaraha yake🥰🥰🥰🥰
2026-09-13 04:12:21
125
daudnhoadamu
daudnhoadamu :
uyooo mtt wakiume kapendeza mashallah gong like hap kama umeona hii
2026-09-12 18:33:21
1305
joans1533
blessed :
guys use english
2026-09-13 02:54:00
34
editha.masisa
Editha masisa :
Junior yupo kama yesu😁😁
2026-09-13 06:14:21
47
celeen163
celeen :
tunao angalia jumapili asubuh tujuane apa
2026-09-13 04:38:43
752
akili095
user5499097399142 :
zuchu umemuheshimisha diamond kaoa zaiv yupo ndoan asante ubarikiwe
2026-09-13 09:17:01
8
user856759068
user856759068Joyna :
vipenzi vya baba mumevionaeee[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-13 09:21:47
1
unlady02
unlady :
mumemuona naseeb jr alivomfanana diamomd nyieeee
2026-09-13 03:18:23
36
user8124209461149
user8124209461149 :
Allahumma Swali wasalim aleigh
2026-09-13 08:51:02
2
fatmajuma205
fatmajuma205 :
diamond he so handsome with everything
2026-09-13 05:47:32
1
user43516822454057
Chanukah :
Tujitahidi kumswalia Mtu S. W Allah atusamehe leo na kesho kiama inshallah
2026-09-12 19:29:27
148
sweety85374
Aisha m :
Mashaallah that boy diamond junior
2026-09-13 09:19:28
1
mwaget
mwaget :
Father Abraham 😁
2026-09-13 06:02:30
4
zurrywassou2
*ZurryCherrie💋..🇹🇿💞🇦🇪 🍒 :
Naseeb junior amependeza sn kama muarabu wa Abudhabi
2026-09-13 02:25:01
17
userbee_93
🦋Bee🦋 :
The best stepmother ever🥰🥰🥰
2026-09-13 06:17:57
1
mymomy40
bint msellem :
Jmn Nassub junior kapendeza mashaAllah
2026-09-12 18:52:57
267
michelle_myrah
Michelle🦋 :
mtoto wa tanasha yuwa mfanana sana na mondi
2026-09-13 05:06:08
10
zuuh_og0
zuuh_og0 :
Hapo mtoto wa hamissa ndo hayupo
2026-09-12 18:56:02
120
agnes.mutheu2
Agnes mutheu :
lakini jamaa anapenda watoto wake sana
2026-09-13 05:18:09
7
user5670380072386
Emmy :
ila ukweli usemwe zuchu anapendwa vya ukweli sasa
2026-09-13 05:21:37
8
its.muenie
it's muenie :
my all eyes on naseeb, because why not🇰🇪
2026-09-13 05:20:02
9
ishaaishaa72
megna :
Allah awalinde pamoja na wazazi wake
2026-09-13 04:26:23
7
To see more videos from user @ally.omary422, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About