sikilizeni jibu jmn, nimekopa 5000 kwa kaka na 5000 kwa dada nikanunua nguo kwa mwenye duka kwa 9700, nikawa na 300 nikapunguza deni kwa dada 100 na kwa kaka 100 na mimi nikabakiwa na 100. ok sasa mm nadaiwa 9800. dada ana 100 kaka ana mia mimi nina 100 jumla 300 mwenye duka ana 9700. hivyo mimi nitatafuta 9700+100+100+100 =10,000. 💯💯💯💯
2026-10-01 03:25:55
3
Bariki Yaneth :
nguo ni 9700 ila ukabaki na 300 ukampa dada 100 ukampa kaka 100 ukabaki na 100 jibu ni kwamba baada ya kununua kwa 9700 nikabaki na 300 nikampa dada 100 na kaka 100 nikabaki na 100. sasa mimi nilitakiwa nirudishe 4900 kwa kaka na 4900 kwa dada kwahiyo m100 hiyo iko kwenye jumla ya deni ni 9800 na 200 tayari nimeshalipa kwa deni la kaka 100 na dada 100 jumla ni 10000 isitudanganye
2026-09-27 19:37:28
1
femi otedola :
mia ipo dukani ushaitumia nguo
2026-10-03 08:21:44
0
Cezer 🌹 :
Mia imebaki
2026-10-03 19:51:47
0
user4397902515933 :
hapa siasa ndo inatumika siyo jibu tena😅😅😅😅
2026-10-03 05:54:41
0
mk :
mia itakuwa kwa muuza nguo
2026-09-12 21:53:27
0
maganga :
mia imebaki na mm mwenyewe
2026-09-28 11:10:42
0
BRASIL BRAND :
imebaki na muuza duka
2026-09-13 04:48:01
0
yonamkono :
hakuna mi ilio potea
9800 ukiwapa na 100 deni litabaki 9700
2026-09-13 13:58:56
0
fireboyronaldo :
2026-09-13 07:03:28
1
Elias Kajolo :
😂😂😂😂
2026-09-24 20:43:11
0
blizzy :
chukua 9700 gawa Kwa dada gawa na Kwa kaka jibu utapat la kwel
2026-09-13 00:06:13
0
jockbed :
Mia itakuwa nayo wewe mwenyewe maana katika manunuz ulibaki na 300 sawa, ila ktk upunguzaji wa deni kwa dada na kwa kaka ulibakiwa na 100 kwaiyo ktk hesabu mia unayo wewe
2026-09-13 01:46:22
0
Must kiung :
miya imenda kweny makato
2026-10-03 20:32:28
0
shukulumelamwacho :
mia anabaki nayo minunuzi
2026-09-12 22:09:06
0
fundi Matias :
elfu 9700
gawa kwa watu wawili ni elfu 4850 kwa kila mtu na katika miatat iliyobaki ukimpa kila mtu 100 unabakiwa na 100
na hiyo mia ukijumlisha inakuwa elfu kumi