@makoye.anatory: Post dural Puncture Headache 🩺🥼

Nusu Kaputi Zone
Nusu Kaputi Zone
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 18:32:51 GMT
404513
9470
920
700

Music

Download

Comments

happy612345
dada :
sasa hivi tunapata shida yakusahau
2026-09-13 04:56:23
234
user881417719
Lizzy :
Niliumwa kichwa nikais kuchanganyikiwa🙌
2026-09-12 20:51:51
66
rayasnaturalproducts
Rayas products :
Mimi kiuno ya mpaka Leo,miaka ,3
2026-09-13 02:43:45
41
user2530936019835
annah anjelus💓 :
ee mungu nisaidie me week ijayo inanihusu iyo sindano😔niombeeni wapendwa🙏
2026-11-14 05:54:56
0
segilla
Segilla :
Kichwa kile kilinimua Hadi Hadi leo🙌🙌Na mgongo unaumaaaa. Hadi kesho 🙌hapana jamani
2026-09-13 13:41:56
17
zed7434
zed :
me mbona baada ya op siskii vizur au ni masikio yangu
2026-09-24 04:48:53
6
emmyjoseph06
emmyjoseph06 :
Mimi naumwa mapaja sana namiaka mitanl kwajili ya zile sindano nilizo chomwa sijui nifanyaje maana nalala Kwa tumbo mpka nahisi maumivu ya utumbo
2026-09-13 17:28:34
5
saurath11
saurath ♥️♥️ :
mim kichwa kiliniuma sana nililia😭😭😭 mno kilinisumbua wiki nzima daah sina hamu
2026-10-03 20:07:16
2
user3211811490745
joyce theonest :
je nimda gani kubeba mimba nikifanyiwa oplaishen
2026-11-10 12:49:25
1
user9138127711307
Jojo 💃📍🥰 :
Sitokaa nisahau niliamshwa masaa 4 baada ya operation,shingo lilikakamaaa huwezi geuka 🙌🙌,kichwa utafikili kuna shot za umeme nilijua ndo mwisho wangu sina hamu😌
2026-09-26 22:34:54
0
mage02188
mage🥀 :
mm mtoto wangu anamiaka minne la bado nasumbuliwa na kichwa kinauma upande mmoja na mgongo unakaza kama nimefanya kazi za kuinama
2026-09-12 21:33:16
6
janethjeremia413
Janeth Jeremia :
Ila doct izo sindan sijawai kuziona wakati wakufanyiwa kwa sababu unakuwa umeinama
2026-09-19 16:20:41
0
faarbaby
farbaby💖💖 :
jamani mimi tangu nijfungue kwa cs nina mwaka sas ila miguu inachoma na kuwaka moto jmn..shida nini au nitumie nini😳😳
2026-09-30 13:55:38
1
zuucute1020
saniacute1020 :
me mpka Leo naumwa mgongo na kichwa ndio magonjwa yangu sugu na mtoto wangu Sasa anamiaka sita
2026-09-13 23:25:34
0
zena.mbwana.bakar
Zena Mbwana bakari :
mimi nasumbuliwa na kiuno nina miaka 4tangu nitolewe mtoto
2026-09-21 03:48:28
0
stellahstevenngas
Stella Steven :
Nashur Mungu mimi sijaumwa kichwa
2026-09-13 12:59:25
0
getrudadaud2
getrudadaud2 :
mim tatzo langu napoteza kumbukumbu
2026-10-10 23:43:01
0
deborahsuddy
Renie de cute# :
mm imenifanya karibia nakuwa kiziwi
2026-09-19 22:23:29
0
user6596939388760
Mary :
sio mgongo tyu kaka mi ata masikio Kuna mda yanakuwa mazito
2026-09-23 14:58:47
0
farhamuhammed8
farhamuhammed321 :
ni mm apa ninamyak 2 shingo bado linaum
2026-09-29 04:54:12
0
user4265312935694
user4265312935694 :
niliingia kwenye chumba cha op baada ya kukuta mnavojiandaa kidogo nikimbie zile buti, ma aplon utasema mnaingia machinjioni! NILIAMBIWA KUONGEA SANA BAADA YA OP
2026-11-07 12:55:51
0
user4885297961403
mary :
duh nimekuelewa mm ndy nauwaga sana kichwa
2026-11-12 18:35:28
0
user6847155454149
Sarah :
pia jino lina shida n kwa nini daktari
2026-10-16 18:25:26
0
mrs.dotto.kutika
Mrs dotto Kutika :
jamani mm hiki kichwa sasa na mgongo mbqka sasa hivi na mtoto ana miezi 8 lakini mgongo bado una nisumbua jamani
2026-09-29 10:49:17
0
cathyciar
CathyCiar :
Sante kwa elimu
2026-10-16 06:04:33
0
To see more videos from user @makoye.anatory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About