@morogoro_apartments: #Sikiliza mpka mwisho kuna cha kujifunza kuhusu vibaka.

morogoro_apartments
morogoro_apartments
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 18:34:06 GMT
36864
2196
208
165

Music

Download

Comments

tina_mg
Tina mg❤️❤️ :
izo apartment ziko wap
2026-09-14 23:40:39
0
leyochu
💝💦opera💥💯 :
hiyo ya barakuda ni kweli kabisaa
2026-09-13 06:19:07
25
kigumbi
meshach :
CHAMWINO NIMEZALIWA LAKINI SEHEMU YENYE VIJANA HATARI ZAID TANZANIA
2026-09-13 03:57:51
20
martha_happy76
Martha H😋 :
Ile barabara unakabwa hata mchana kweupeeeee
2026-09-13 09:54:26
13
yjunior.scanner
Yjunior Scanner :
maduka kumi na kihonda mbuyuni umefika
2026-09-13 07:25:56
10
chichodisplay1
Chichodisplay :
RPC saiz kaweka jeshi kali sana morogoro Amani ya kutosha sana san
2026-09-13 20:51:32
4
_sule.mr
Bin Suleiman Jr :
Doria hakuna Moro?
2026-09-13 03:31:34
5
steven.kamanga5
Baba Allan#🇹🇿 :
Modeko mtaan kwangu naludi saa6 had 8 hakuna hayo mambo
2026-09-13 05:20:36
5
magadaughter0
♍️ 🦋 :
Cy kweli bhan me nakaa barakuda narudig had saa saba alafu natembea na sijawah kuibiwa zaid ya kukimbizwa narudig mbwa 🤣
2026-09-13 09:07:43
6
issachinama
issachinama :
kaka kwann unashuku chamwino?
2026-09-14 19:09:43
1
thepredetide
The Heralds of Hope :
lakini pale si kuna kuna kituo cha polisi?
2026-09-14 06:20:57
2
dir_shack
shacx 🐬🐬 :
njia ya kwenda lugala kule ndio kuna mambo hayo ila apo modern uongo aseh mara nying sana saa8 au 9 napita apo
2026-09-13 08:37:00
4
dodo_classic_wigs
dodo_classic_wigs :
Kihonda sekondar nilikutana nao watatu mmoja kajfanya yuko chin kalala ili asaidiwe kumbe ni wezi, Mungu mkubwa hatukusimama tulinyosha mpk ipoipo😂
2026-09-13 23:02:55
2
magreth9686
magreth💋🤍❤ :
watoto wa chamwino tujuwane🤣😂
2026-09-13 17:49:16
1
wardaofficial.gmail.com
warda official :
basi mungu ananipenda nilishawahi kutembea kwa miguu adi ipoipo nabwala sikuzinguliwa
2026-09-15 20:21:53
1
damiansabasi
Damiani Sabasi Lashayo :
😅😅😅poleni sana, madalali wa magari
2026-09-14 05:27:08
2
jaliajuma1
binti kulususu :
niliish maeneo yale waliniibia tv 🙌🙌🙌
2026-09-13 06:20:11
5
philipo.mkude
Philipo Mkude :
asante kwa kutujuza
2026-09-14 18:40:30
1
ghostmaestro08
Ghostmaestro💀 :
Mtaan kwang hapo
2026-09-13 23:23:09
1
danford.innocent
danford Emmanuel :
ndo nyumbani huku
2026-09-13 15:46:03
1
www.matatizo99.com.tz
NINA_MATATIZO_99 🙏🌍🌹🫆👣💸 :
aya tajili🫵🏾🫵🏾🫵🏾
2026-09-13 12:03:30
2
gao3485
gao :
je wewe unafanya biashara ya magari
2026-09-13 08:04:09
1
ruth.sulley3
💓R,sulley💞 :
ifakara
2026-09-12 20:11:27
5
chris..badman
Jesus..Lizard :
Wee Unapajua Chamwino Vizuri kaka vishandu kila kona
2026-09-13 06:42:40
3
user14624951811054
Angel :
Kaka umeowa?
2026-09-13 15:06:04
1
To see more videos from user @morogoro_apartments, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About