@official_lanezz: Usijutie kukosa jambo fulani kwenye maisha yako, Mengine mung anakuepush sana ila wew hujui😥 #viralreeltrend #motivationreel #toalltiktokersintheworl

LANEZZ_TV_TANZANIA🇹🇿
LANEZZ_TV_TANZANIA🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 18:43:18 GMT
4996
365
13
12

Music

Download

Comments

imranz669
imranz :
Gods plan always the best
2026-09-12 21:50:02
0
emmah_official8
mr&mrs official👺 :
daaaaah pole yao
2026-09-12 21:43:31
0
addy75072
꧁༒KAYZEN🤴༒꧂ :
usikat tamaa hat kam ukiachwa katik matatizo hujuj mungu kakuepush na nn fight and move
2026-09-12 20:46:14
9
chibafighter.off1
#Chibafighter official :
kila kitu kinachokutokea Mungu anamakusudioa yake
2026-09-12 21:44:08
2
user7183773211314
ommy6 :
usipende kukimbilia msaada ambao hujuw matokeo yake ya apo baadae yatakuja kuwa vipi
2026-09-12 21:32:08
3
jumaamuhamedi861
Jumaa Muhamedi :
mungu yy ndy mueza
2026-09-12 21:24:15
1
joshuaherman76
josure rj :
kuna misaada mingne huja kwa ajili ya kukuumiza na sio kukusaidie kama ulivyotegemea
2026-09-12 20:44:18
2
saidmkataumeme
said_tz :
usinungunike unapokosa kitu wakati mwingine mungu anakuepusha na mengi
2026-09-12 21:17:12
1
feisalmbelenje
Fesalh mbelenje :
unajuwann mungu anatuepuxha navituvingisana ila ss atujuw tunazid kufanya mazamb
2026-09-12 21:13:58
1
thugzelathugboy
Thugzela Thugboy :
mungu anakusudia lake
2026-09-12 21:23:00
0
hatibu931
hatibu :
kweri sn2👍👍👍👍👍👍👍
2026-09-12 21:42:27
0
patrick09421
Patrick :
usiwe naaraka
2026-09-12 20:35:54
1
mgunya.furniture
Mgunya Furniture :
mungu ndo anayepanga
2026-09-12 20:45:31
1
To see more videos from user @official_lanezz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About