huyo ni Mimi kabisaa 31 hii tena Sina ndoa wla mtoto naishiakulia tu watu wanakuja vizur wanaishia njiani mtu ana ghaili bila sababu yoyte
2026-09-12 21:00:28
57
Healthy Horizon :
Maneno yako kweli kabsaa lakini fainnamaal usri yusra na wote wanaowafanyia watoto wa wenzao ubaya Allah Ata walipa kesho Akhera yaumul khesaab.
2026-09-13 04:46:17
56
it.kira.xoxo 38 :
Sawa ila Hamna linalopita bila Allah kulipitisha na hmn anaeweza kumzuia Allah ata waroge vipi ukiona kitu huna hujapata ujue sio rizik yko ikifika rizik yko haikupiti tubaki tukimuamin Mungu jmn
2026-09-13 02:57:36
27
Binti jei :
Sasa tiba yake tufanye nini ili tupate na sisi hiyo ndoa
2026-09-12 20:08:27
3
Bahati yangu :
mimi sina ndoa nlizalia nyumbani Allah anisamee ila naomba tiba
2026-09-12 20:44:26
3
amalatienomaroko :
Yaan ni kama unaongelea Mimi at 35 sina bwana wala mtoto
2026-09-13 15:57:52
5
aunt rucky :
mth wallah
2026-09-13 04:47:33
2
Shanandegha :
No weapon formed against me shall prosper,Every tongue that rises against me shall be condemed
2026-09-13 16:04:42
4
Arafa cosmetics :
kikubwa Dua na kuswali tu
2026-09-13 16:04:29
1
user1419780087024 :
Mtoshelezaji wetu ni Allah peke ake ila shukrani san kwa mafundisho pia.,hakun kinachoshindikan mbele ya Allah.,Allah ndo muweza wa yote
2026-09-13 05:57:45
5
Careen mom og :
Eeh mungu wangu naomba unitetee mm Ameeen
2026-09-15 11:39:03
2
Riziki :
Ameen thummah ameen
2026-09-19 22:53:40
1
QUEEN OF DETACHMENT :
Huyo ni mm kabsaaa
2026-09-13 23:40:04
0
phemmyvitambaa :
Mi naamin kuna wanawake hawajaandikiwa kuolewa na kuna wanaume awajaandikiwa kuoa 😭
2026-09-13 11:42:17
7
Binti Abdul :
Hapo kwa kuanika chupi ndio waliniweza napo ila mungu wetu sote siezi jikatia tamaa inshallah ntakuwa mke wa mme wangu Aamiin
2026-09-13 04:06:56
6
Miss myyy official 😍😍😍 :
Subhannallah hii nna ushuhuda kwa mtu wa karib sana
2026-09-12 20:02:57
6
Khadija Hussein :
tunafanyaje kujifungua maana umeongea kama wajua maisha yangu na dada zangu
2026-09-15 11:00:12
1
Mam :
Allahumma amiin 🙏🙏
2026-09-14 11:19:52
1
Mudathilu M :
kwell
2026-09-12 19:50:15
3
Sayful.islam :
Brother your point some how ok but not every problem is against you, if you can understand the diin deeply try to understand, not every delay is arejection know that itis aprotection and perfection if you are truly mumiin itis must that Allah will test you.same as nothing can happen to you without the permission of Allah and no soul can die except by permission of Allah at afixed time written..wamakana linafsin antamuta ilabi, idhnilahi kitaban mu,ajala√
2026-09-14 10:21:21
2
Nuraty🌹 :
Allah atatulipia 😭😭😭😭😭
2026-09-12 21:34:36
3
momy mudathiry :
amiin
2026-09-12 20:30:20
3
Coffee en milk☕ :
Mi naamin mungu tu🙏
2026-09-13 05:28:15
2
To see more videos from user @faidikatv, please go to the Tikwm
homepage.