Nilishawah onyeshewa dharau kariakoo duka moja la vyombo nlitaka set ya vikombe nkaambiwa hutaviweza bei yake dah nkasema fresh nkanda duka la jirani yake niavikuta nkauliza bei nkapewa nkanunua set mbili kea jeur mfuko niliuweka pembeni nkavibeba vle vle nkapita pale pale duka la kwanza sitakagi dharau kwakweli
2026-09-13 10:19:45
143
shaharizade_stitches :
nilienda dukan kkoo nikaulizia urembo nikajibiwa huu huwez kukunua bea akanionyesha nyengine.ni kweli sinaa uwezo wa kununua kitu cha gharama ila ile kauli mpaka leo sisahau
2026-09-14 04:21:36
34
Brown26 :
Kuna madogo walikuja kwangu wa kanunua furniture za milioni 9 Alafu madogo tu wametoka machimbo
2026-09-13 12:09:46
49
datty🌸🌺 :
mm nilikuw nauz vipodozi Yan nilikuw nanyenyekea mteja ht hawej ht awe sjaniungisha hd wananiambia lazima tuludi na nilikuw duk la mtu ila nilitengeneza watej
2026-09-13 15:12:23
29
emmamelita272 :
bola uwaambie na kuna hao wano wavulisha watu viatu..mm nikikuta tu unaizo pgo ooo vua viatu sahau biashara na mm😅Gudubai🤣
2026-09-13 05:57:22
35
Benie🔅 :
tabia zangu hizo, nakuja dukani kama kichaa lakini najua nachokitaka😂😂🤗
2026-09-13 11:13:53
25
Lastborn :
Nilienda kununua Range rover yule muhudumu akanidharau daah😭😭😭 nikaenda showroom yapili yake nikakuta G wagon nikanunua then nikapita nayo kwenye ile showroom yakwanza nahisi aliona Aibu🙏
2026-09-14 11:24:01
11
Mrs/PETER LADIES POINT :
Nilienda kuchongesha meza na kiti cha kusomea mwanafunzi,,naonyesha picha fundi ananiambia hii hutaweza bei yake eti laki 2 Kisa nilivaa kijora na khanga ya kifuani sikutaka Hata kugeuka nyuma
2026-09-17 17:55:18
0
CHIDNMA COLLECTION👗 :
hata nyumba ya kupanga tu siwez vua viatu naingiaga na viatu😂
2026-09-18 13:11:25
0
?jj :
kama swimming sivui ndala zangu kwakweli DUKANI MTANISAMEHE TU!!!
2026-09-14 07:08:43
1
user2171209611912 :
nilikwenda duka la vipodozi jamani uyo dada alikua ananijibu anavyojua yeye. Nikaondoka na kwenda kwa Tiffany store mke wa gabo na kutumia 190000 .yeye alinizarau kwa 25000 eti sitaweza nunua kwake. na asubuhi yake nilipita na mfuko wangu wa brand ya Tiffany uku ananiangalia
2026-09-13 15:18:40
4
Reen ❤️🌹 :
Kariakoo jengo la DDC 🙌🏾
2026-09-15 03:37:15
1
Zenobia Dominic :
Kweli kipenz
2026-09-13 07:12:38
7
Rachel Mkemwa :
hii tabia ya kuvuaga viatu unapoingia dukani siipendi🥺
2026-09-14 06:04:41
6
Mwanakher Hussein :
Happy customer care ni💯 iwe unamjua mtu humjui wote unawahudumia sana
2026-09-14 19:23:06
1
B.M :
wafanya biashara wengi wana dharau sana aiseee
2026-09-14 08:03:13
4
Dorcacosmetics :
Hakika 💯
2026-09-13 07:34:42
11
Lulurichard :
hiyo mimi hiyo hilisha nitokea nilidhauriwa na uyo dada na akanibeza kweli akujuwa naweza kumuachia pesa ambayo akutegemea baadae akawa anaitaji namba yangu na mimi bila hiyana nikampa namba hila nikamwambia udharau watu dada akajichekesha
2026-09-13 09:50:07
6
iDORA Business :
hata kama hana pesa siwez kumdharau
2026-09-15 10:45:20
1
Justin stamphord :
kuna bro alikujag duka la rafk ang kanunua nguo za lak 8 aseee
2026-09-15 12:41:24
1
saiab collection :
kweli hii nna ushuhuda alikuja mtu dukan nkamtajia bei ya vtu ikawa nasema mhh ataweza kununua uyu yan alitoa hela hajataka hata punguzo kweli usimdharau usiemjua
2026-09-14 09:15:33
1
theresamjange :
Kuna duka Moja tuliona gaun Zur tukalipenda Mimi na mume wangu tusema ngoja tumchulie bint yet kufika tu mlango tukaambiwa vien viatu kabla hamjaingia tukaamua kuondoka
2026-09-14 15:30:02
2
Isabella Ndyanabo :
uko sawa tajiri
2026-09-13 18:15:16
2
Samirastylsh :
Siwezi kudharau mtu hata iweje
2026-09-13 16:24:54
4
zanaki queen👸 :
Kuna mtu unafika dukqni kwake anakuangalia kwazarau na umepeleka karibu laki mbili kupanda juu inabidi uondoke bila kuuliza chochote..ila wafanyabiashara...😂😂
2026-09-14 09:43:15
4
To see more videos from user @happymadini, please go to the Tikwm
homepage.