@coolie_brian: #Yanga #simba #CAFCL #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights2026

CoolieSports
CoolieSports
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 19:49:59 GMT
99009
5782
212
54

Music

Download

Comments

hajiramadhanjr
Hajji Ramadhani :
coach it's those two who ordered that guy to punch you
2026-09-13 20:20:47
0
humorousprofundity
Thinklaugh :
Wanajiita Club above all😂
2026-09-13 06:26:30
0
thomasmianga
Thomas Mianga :
ivi Simba wanaposema Yanga bado kimataifa, wao waliwahi kuchukua kombe gani au hatua gani ambayo Yanga hawajawahi kufika? wangekuwa waliwahi kufika hata nusu fainali ya club bingwa kama zesco au fainali kabisa.... kufuzu makundi tu ndio mnaona mafanikio sana...
2026-09-13 03:17:50
25
dulla.dulla76
Dulla Dulla :
Oya ila Kocha atuna wanetu sisi yanga
2026-09-12 20:58:59
16
khalifa.mwinyigoh6
KHALIFA MWINYIGOHA :
CAF to give a ruling 😂
2026-09-12 21:11:10
0
user5273127369095
Mp zab :
Yan nyuma mwiko kimataifa bado sana mnatumia nguvu kubwa sana hadi kumpga coach wa watu, shida NBC mnashinda kwa kuhujumu tu na mtaishia huku huku
2026-09-12 21:00:00
31
isayamarco1
Isaya Önê Lovê Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
hiii case lazima ifila caf
2026-09-12 19:58:29
0
josephclavery856
Joseph Clavery :
MASHABIKI KUINGIA UWANJANI TENA SJUI....
2026-09-12 20:33:19
10
pachoche0786719069
user68639270358658 :
pole sana kochi
2026-09-12 20:46:42
0
user50294638654188
TRIPLE L :
usikute ni genge la mashabiki wa simba wanataka kuichafua yanga mapema
2026-09-13 06:40:05
9
abdulkiluwasha
@▄︻̷̿┻̿═━𝕸𝕽 𝕹𝕺 𝕭𝖀𝕯𝖄 ➻? :
:najua haiwahusu ila SIMBA kashinda goli 6️⃣➖️1️⃣
2026-09-13 15:10:54
6
cut.isabella
cut Isabella :
mmeweka wa2 wawapige ili kuwatoa mchezoni,hongereni mmeweza
2026-09-12 20:21:37
10
ramsol4665086320518
BA Muu❤️ :
danh wamempiga kocha ngumi
2026-09-12 20:14:59
6
nurath.yassin1
Nurath Yassin :
Hao walompigaa ukute wametumwa nasimbaaa ili kuiharibia yangaaa
2026-09-12 21:51:37
4
shannymbaruku
shanny baby 😍😍 :
Tena yanga mungu akubariki tukafika robo t Simba kwenye rinki awatushiki
2026-09-13 07:17:58
4
user7712787417600
baba T :
wanavyojifanya waungwana Sasa wakati ndio walio watuma😂😂😂
2026-09-13 09:26:01
1
hamhansy.hassan.ali
REAL LOVE 💕 :
injinia kawatuma wapige wapinzan
2026-09-12 20:27:32
7
mohamedikivumbi
Mohamedi Kivumbi :
inavyoonekana Hawa ni Simba waliompiga kocha ili wawahalibie yanga
2026-09-13 10:23:26
2
sumano179
sumano :
daa wame fanya vibaya
2026-09-12 19:58:39
8
faridirashidi2
Faridi Rashidi1234 :
yani kocha anapigwa walinzi mnaangalia2
2026-09-12 21:07:54
0
kitambulio53
kitambulio :
yanga wafungiwe mashindano hawayawezi
2026-09-12 22:02:56
0
hassanmikidadi
travis tozzy :
kwan kaonewa au
2026-09-12 20:41:16
1
abedmustapha547
Abed Mustapha :
Simba hacheni majungu
2026-09-12 23:07:41
2
macford.chriss
Marco Christopher Bahati :
Yanga bhana 🤣
2026-09-12 20:35:07
3
user4404944729471
user4404944729471 :
iyo ndio timu ya raisi wa vilabu
2026-09-12 20:30:18
2
To see more videos from user @coolie_brian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About