innalilah wainaillah lajuuni, Quran na heleni, mbona watu wanaichululia poa Quran jamani😭😭
2026-09-12 20:24:03
201
Idris⚡karancha :
huyu nani
2026-09-12 20:49:12
7
n@shl@🥰🦋 :
Mashaallah uumesoma kwa upendo mungu atajalia kla la kher kwa dad wa taifa amin🥰🥰🥰
2026-09-12 19:56:12
120
Moh sweaper💪 :
usipo angalia motoni tutakuwa wenyew tu asee😅😅
2026-09-12 20:48:13
176
Dullah bin rwambo🪴🌴 :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake🤣🤣🤣
2026-09-12 21:18:13
25
mrs muu💞💞💞 :
mungu ndie anaejua usimuukumu binadam mwenzako
2026-09-12 20:45:32
108
MAN_DIRECTOR :
Otea kwanini nilifeli darasa la saba..
2026-09-12 21:57:41
8
🥰Mrs yuzzo 🫶 og ♥️🌹♥️ :
nilitak kushangaa d voice akose tn 🥰
2026-09-12 20:36:49
26
iqrah :
muonekano wa mtu sio imani imani yako ndo itakuoeleka peponi