@frederic_actus: KILA kitu kwetu WA kristo MSINGI wake ni neno La Mungu hakuna tunacho ki Fanya kwa tamaa ZETU , TOFAUTI na kule ambapo ndugu ZETU WAISILAMU WANA tembeya na SHERIA za MTUME Mudi #bibilia #majini #aurani
I like your teachings despite being a christian it makes alot of sence
2026-09-13 08:40:41
4
Kevvoo Ndege :
Somo la sadaka tulifundishwa wakati tukiwa watoto
2026-09-13 09:13:41
4
Ahmed Deus :
milele amina shekh . kijana mjasiri ❤️💙🔥 Mungu akulinde
2026-09-13 05:56:24
14
Omicron :
Huyu mwishowe atakuwa wetu ❤️❤️🔥🔥.
2026-09-13 06:30:54
20
kitambulio :
uyu ni mkristo
2026-09-12 21:47:08
7
Hommiesavage166 :
fact💯
2026-09-13 09:38:58
3
magrethherin :
basi watamchukia shekhe
2026-09-13 05:09:58
14
never cry and never give up :
ndoa Kwa wahikresto ni Moja ya sakramenti kubwa
2026-09-13 09:38:27
4
Rosemary Kaswahili :
fact sana
2026-09-13 09:49:09
3
shasimo❤️ :
sasa umeona hayo tuu mbona wao wanazini hata miaka10 bila ndoa na husemi hata hivyo kama unakaa kwenye ndoa huna amani hiyo ndoa ni ya nn sasa ndio maana kwetu kuna talaka mume anaweza toa talaka na mwanamke anaweza omba talaka alhamdulilah hatujaja kuteseka hapa dunian ndoa nzuri yenye aman bwana weee siwez vumilia vipigo mm ety kisa talaka never 📌📌
2026-09-13 04:51:51
1
calmvault :
hata katika hili la uhalisia utashambuliwa sana shekhe
2026-09-13 04:55:19
3
Kaisa :
mmmmh kwer kk Mungu hakubariki
2026-09-13 02:42:29
4
Rizzy B💖 :
ndoa sio mkataba ni agano
2026-09-13 08:06:53
3
private education :
ivi Kwa Nini kwenye nguzo Tano za uhisilam.akuna Sheria ya kuoa na kuolewa.na ktk amri kumi za mungu kikrisro.akuna amri ya kuoa na kuolewa?
2026-09-13 08:16:34
0
THE CHOOSEN :
SHEHE UMEONGEA KWELI SHEHE MUNGU AKUBARIKI KWA KUWA MKWELI
2026-09-12 21:14:35
8
Babe girl :
hakika
2026-09-12 22:14:23
3
By killer 32 :
Asante sana ubarikiwe Kwa kweli
2026-09-13 03:51:10
4
barakaellymungoe :
utafika mbal sn kijana
2026-09-13 03:51:45
2
Injinia :
nakuelewa san shekh wangu uko vzr
2026-09-13 11:16:15
0
less :
Wew ni mshabiki wangu siku zote.
2026-09-13 11:01:11
0
S.s.bravo :
upo vizuli
2026-09-13 11:00:23
0
To see more videos from user @frederic_actus, please go to the Tikwm
homepage.