mbona Tanzania tunakosa ubinaadamu kwa vitu vya muda mfupi unampigaje mtu kama vita
2026-09-12 21:15:03
19
princess YANGA 🥰 :
ety kapoteza kumbukumbu mmmh[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-12 21:11:03
0
Bob Shelby :
Mpira ni michezo na furaha sio uwadui kitendo cha kumpiga kocha sio kizuri makocha inabidi wahishimiwe
2026-09-12 21:04:31
15
Yatera :
this is not football
2026-09-12 21:00:47
1
cassano :
Yanga wana njia za hila nyingi
2026-09-12 21:18:45
6
pizzo khan36 :
daaah imeniuma sana mpira haupo hivo Eng,Hersi Kuna kitu cha ziada cha kujifunzaaa kupitia video hiziii Kuna siku hta sis mashabiki htutaruhusiw kuja uwanjani
2026-09-12 21:36:29
2
Abdul Hafidh :
mipango ya simba
2026-09-12 22:02:04
0
FG :
unauhakika aliepga ni yanga?
2026-09-12 22:06:35
0
chuga boy📿 :
uyo coach amepigwa na mawazo
2026-09-12 22:04:21
1
samwerrii :
sasa kama ni shabiki wa simba hajafurahi yanga kupita jamani mbona hamfikilii hilo
2026-09-12 21:36:06
0
idrissamohamed16 :
Huyu nae kila kitu aseme yeye
2026-09-12 20:42:11
0
Kedy_tz :
kama kasahau mbona hajaingia yeye mwenyewe kucheza
2026-09-12 21:48:31
0
mayandakiya1998 :
wapo kuhalibu mpira2 haki itapatikana hawatafuka mbali wamesha zoea mbeleko
2026-09-12 21:31:04
1
baba nakio :
hii inasikitisha sana ..alafu kipind wana mfatilia kuna watu wameziwia kwaiyo izo mbinu sio poah kabisa TZ bado sana...
2026-09-12 21:21:37
1
VIT-MARLEY TECHNICIAN :
mm na yanga yangu ila sjapenda kiukwer ule nmchezo arf wanaleta vta
2026-09-12 21:48:09
1
taa :
kweliiii
2026-09-12 21:34:05
1
karim :
Sielewi kinachoendelea na Yanga FC; mnajua fika kwamba haiwezekani kufika mbali kwenye Ligi ya Mabingwa, sasa kwa nini mnafanya hivi?
2026-09-12 21:33:42
1
Salmoneral@ :
hakika
2026-09-12 22:19:29
0
MR_ONLYONE :
🤣🤣🥰🤣 kasahau formation ilikua 4213 yeye kaweka 4321
2026-09-12 22:03:39
0
Trixie pretty eyes 🦋 :
Sio sawa bn😢
2026-09-12 22:01:15
0
Alex Makubi :
yanga na uongozi wake hawajitambui tu
2026-09-12 22:23:26
0
Victor17 :
inauma sana
2026-09-12 22:14:52
0
tozzy mxafi :
hajapigwa na yanga kapigwa na shabiki
2026-09-12 22:24:04
0
Hans Tanje :
Yanga ni wanamiekeka
2026-09-12 22:26:14
0
esterastaliko86 :
ee mandala
2026-09-12 20:39:09
0
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm
homepage.