:Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.
2026-09-13 07:23:46
6
zmo :
2026-09-16 18:41:07
0
valley_og :
Siangeacha nisani tuu daaa[Big LOL][Big LOL]
2026-09-13 07:47:49
5
Emanuel Monko :
Mwanaume ni mtu ambaye haoni shida kuanza upya kikubwa Huwa ni awe na AMANI na KUHESHIMIKA
2026-09-16 14:45:22
1
Apolinary Mungai Msele :
Mwanamke ndiyo anaandika Talaka au mwanaume ndiyo anaandika?
2026-09-16 15:12:39
0
REUX👣CEE💥 :
hii familiar wadau😁😁😁
2026-09-13 10:02:44
5
sabistami :
alafu baadae unamwambia kuwa mali niliandikisha kwa jina la mama
2026-09-13 14:49:32
3
Meshack John :
mungu anakupa hitaji la moyo wako
2026-09-16 13:47:17
0
Benny electronic :
yani umetuwakilisha vizuri kaka
2026-09-13 12:14:50
1
Imani Mbwambwa :
utanifwatilia🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-13 11:06:26
2
thomas masudi :
kidogo mambo yakubali ulichelewa kidogo
2026-09-13 13:13:51
1
adamu :
andika koment yako
2026-09-15 12:31:00
0
babubombahb :
familia
2026-09-13 11:35:52
1
Dpascali ✊️ :
Hahaha😃😃😃
2026-09-13 06:11:52
1
Hunter@1995 :
N mm huyu kabisa
2026-09-16 11:30:48
0
Ben makati :
kabisaa mwanangu hivyo ndio inavyotakiwa hapo kwa heshima👊
2026-09-16 09:17:27
0
mr.Thunderstorm :
yaan najiona mm kabisa
2026-09-16 19:48:50
0
Nestory288 :
😁
2026-09-16 17:37:54
0
Maopena daily :
kama kawaida hakuna Kupinda pinda
2026-09-16 12:14:09
0
chika :
saw haina shida
2026-09-16 09:18:41
0
@high5level :
cool homie
2026-09-13 07:52:53
0
To see more videos from user @user3968882661888, please go to the Tikwm
homepage.